Nuru FM
Nuru FM
8 December 2025, 9:00 pm

“Kilimo hicho kitasaidia kuandaa mashamba bora kutokana na hali ya hewa kwa wakati huo”
Na Adelphina Kutika
Wasichana wanaofadhiliwa na Shirika la Camfed (WANACAMA) wanaojihusisha na kilimo biashara mkoani Iringa wamejengewa uwezo wa kulima kilimo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Wakizungumza baada ya mafunzo ya kilimo cha umwagiliaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamesema kuwa yatawasaidia kukabiliana na changamoto zinazoletwa na mabadiliko ya tabia nchi.
MWANAHABARI WETU ADELPHINA KUTIKA AMETUANDALIA JINSI WANACAMA WALIVYOJIANDAA NA KILIMO KUTOKANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI….
