Nuru FM

Wanawake wanashirikije kugombea nafasi za uongozi kisiasa?

9 July 2025, 6:27 pm

Cover ya kipindi cha Safari ya Uchaguzi kinachoruka hapa Nuru FM. Na Chacha Robert

Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake katika kutia nia kwenye Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025.

Na Hafidh Ally na Dorice Olambo

Wakati Kipenga cha uchukuaji fomu kikipulizwa kwa baadhi ya vyama kuanza mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi za uongozi kwa kuanza mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kutia nia ya kugombea, Nuru FM imekuandalia makala kujua ni kwa kiwango gani wanawake wameshiriki katika mchakato huo. Karibu