Nuru FM
Nuru FM
29 May 2025, 9:00 am

Makala hii inatazama ni upi ushiriki wa wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Na Hafidh Ally na Dorice Olambo
Katika kuondokana na changamoto ya wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi katika uchaguzi, Nuru FM imeandaa makala yenye lengo la kuifanya jamii kuwa na mtazamo chanya kuhusu wanawake kuwa viongozi.