Mpanda FM

Recent posts

24 January 2024, 3:43 pm

KATAVI, Bidhaa za Vyakula Vilivyoisha Muda Husababisha Kuhara

“Madhara ni  kupelekea  mtumiaji kupata homa na hata kuharisha kutokana na  sumu iliyopo ndani ya Chakula”. Picha Na Mtandao Na Lilian Vicent-katavi Baadhi ya wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameeleza maoni yao Mseto juu ya namna wanazingatia muda  sahihi …

24 January 2024, 3:24 pm

Wiki ya Sheria Wananchi Mjitokeze Kupata Elimu

“Hakimu Mfawidhi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Katavi amewaasa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kupata Elimu ya masuala mbalimbali yanayohusu sheria ” Picha na Festo Kinyogoto. Na Festo Kinyogoto-Katavi Kuelekea maazimisho ya wiki ya sheria Hakimu Mfawidhi Mkuu wa Mahakama…

24 January 2024, 2:57 pm

MPANDA, Wananchi Walia na Ubovu wa Barabara

“Wananchi Wamesema Barabara nyingi zilizopo Manisapa zina Mashimo yaliyojaa maji na matope, mitalo iliyojaa michanga na takataka inayosababisha maji kuchepuka na kuingia barabarani” Picha Na Festo Kinyogoto Na Gladness Richard-katavi Wananchi  wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba Serikali kuboresha…

20 January 2024, 1:52 pm

Utoro wawakosesha 400 mtihani darasa la nne shule ya msingi Nyerere

Picha na Mtandao Wanafunzi hao hawakuweza kufanya mtihani wao wa darasa la nne kwa sababu za utoro ziliopelekea kushindwa kufika katika chumba cha kufanyia mtihani. Na Asha Bakari-Katavi Zaidi ya wanafunzi mia nne [400] wa Shule ya Msingi Nyerere wameshindwa…

19 January 2024, 12:54 pm

Mama afanya jaribio la kumuua mtoto baada ya kujifungua Katavi

Mama wa Mtoto huyo akiwa katika hospitali hiyo kwa Matibabu zaidi ya Mtoto .Picha na Gladness Richard Amefanya kitendo hicho baada   ya kufika hospitali  na kuomba kwenda chooni na huko ndipo alipofanya jaribio hilo. Na Gladness Richard-Katavi Binti anayefahamika kwa…

18 January 2024, 12:50 am

Wananchi Katavi wanaelewa nini kuhusu ugonjwa wa macho mekundu?

Picha na Mtandao Ugonjwa huo unawapata watu wa rika zote hivyo jamii inapaswa kupata Matibabu mapema iwezekanavyo mara tu watakapoona viashiria vya Ugonjwa huo. Na Gladness Richard-Katavi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameeleza namna wanavyoufahamu Ugonjwa wa Macho…

18 January 2024, 12:00 am

Wananchi Mkoani Katavi wachukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa Wa Kipindupindu

Picha na Mtandao Tahadhari    wanazotakiwa kuchukua Wananchi ili kujiepusha  na Ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kutumia Vyoo bora. Na Lilian Vicent-Katavi Baadhi ya Wananchi  wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni  mseto juu ya tahadhari wanazozichukua kuhakikisha wanajikinga…

17 January 2024, 1:54 pm

Tanganyika DC yazindua mradi wa urejeshwaji endelevu wa mazingira

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akipanda Mti akikaimu kwa Mkuu wa wilaya ya Tanganyika .Picha na Deus Daudi lengo la mradi huo ni kuimarisha usimamizi wa pamoja wa mazingira na urejeshwaji wa ardhi iliyoharibiwa ili kujenga uhimilivu wa…

17 January 2024, 12:48 pm

Madiwani Halmashauri ya Mpimbwe wajifunza Biashara ya Hewa ukaa

Utunzaji wa Misitu na upandaji Miti unahusisha biashara ya hewa ukaa .Picha na Mtandao Wanatarajia kuanza kufanya Biashara hiyo kutokana kuwa  na Maeneo yanayoruhusu kufanya   Biashara ya Hewa ukaa. Na Betord Benjamini-Katavi Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mpimbwe wilayani…

16 January 2024, 10:11 am

DC Tanganyika akanusha wanafunzi kuchangishwa mifuko ya saruji, madawati

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu akizungumza na wanafunzi .Picha na Deus Daudi Taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii haina ukweli wowote na wanafunzi waendelee kufika shuleni . Na Deus Daudi-Katavi Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu  amekanusha…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.