Mpanda FM

Recent posts

19 November 2021, 12:41 pm

MUWASA Yawafutia Madeni Wateja 602

Jumla ya wateja 602 wa huduma ya maji wafutiwa madeni yao na mamlaka ya maji safi na mazingira Manispaa ya Mpanda Muwasa baada ya bodi kujilidhisha kuwepo kwa changamoto ya madeni hayo Akizungumza na Mpanda Redio FM afisa biashara wa…

19 November 2021, 12:33 pm

Elimu ya Uraia Itolewe

Wananchi wa wilaya  ya  mpanda mkoani katavi wameiomba serikali kupitia idara ya uhamiaji kutoa elimu ya uraia ili kuwajengea wananchi uelewa katika masuala ya uraia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mpanda redio baadhi ya wananchi wamesema hawana elimu ya kutosha…

19 November 2021, 12:23 pm

Wazee Uwanja wa Ndege Waonya Vikundi Vya Uhalifu

Wazee wa kata ya uwanja wa Ndege  Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamewashauri wazazi na walezi katika kata hiyo  kuwaeleza watoto juu ya madhara  yatokanayo  na kujihusisha na makundi ya kiuharifu Wakizungumza na kituo hiki  mara baada ya kikao na…

19 November 2021, 12:12 pm

Million 245 za Mkopo wa Asilimia Kumi Katavi

Zaidi ya shilingi milioni mia mbili arobaini na tano zimetolewa  kwa wanawake vijana na watu wenye ulemavu ambao ni wanuafaika wa mkopo wa asilimia kumi kutoka manispa ya mpanda mkoani katavi. Akikabidhi mikopo hiyo katika ukumbi wa manispaa mkoani katavi…

19 November 2021, 12:01 pm

Katavi na Maadhimisho ya Magonjwa Yasiyoambukiza

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza wameeleza  umuhimu wa mazoezi sambamba na kuwaasa wananchi wenzao kujitokeza kwenye mazoezi. Wameyasema hayo walipozungumza na mpanda redio fm katika uwanja wa Azimio ambapo yaefanyika maadhimisho ya…

19 November 2021, 11:52 am

Bustani Jiko Mkombozi wa Udumavu

Wananchi Mkoani Katavi wameaswa kujihusisha na kilimo cha Bustani Mkoba ili kuepukana na changamoto ya utapiamlo na udumavu unaosababishwa na ulaji usiofaa Hayo yameelezwa na Gastor Mwakilembe Afisa Kilimo Manispaa ya Mpanda ambae pia ni Mratibu wa mradi wa Bustani…

19 November 2021, 11:16 am

Wanawake Acheni Kukanda Maji

Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kuachana na dhana ya kuwakanda  maji ya moto pindi wanapojifungua  kwani kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida zinazoainishwa na jamii nyingi. Editha Ngavatula ni muuguzi katika hospitali teule ya mkoa wa Katavi amesema kuwa…

19 November 2021, 10:58 am

Mpanda Hotel Kuimarisha Ulinzi

Wananchi wa mtaa wa mpanda hotel manispaa ya mpanda mkoani katavi wameuomba uongozi wa mtaa huo kuimarisha ulinzi na usalama ili kudhibiti changamoto itokanayo na vikundi vya uhalifu katika mtaa huo. Wakizungumza na mpanda fm kwa nyakati tofauti wananchi hao…

19 November 2021, 10:44 am

Wafanyabiashara Soko la Matunda Walia na Vibanda

Baadhi ya wafanyabiashara soko la matunda lililopo mtaa wa kawajense Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameuomba uongozi wa soko kuwawekea mfumo mzuri wa uwepo wa vibanda vya kuuzia bidhaa zao. Wakizungumza na mpanda radio FM wafanyabiashara hao wamezitaja changamoto…

19 November 2021, 10:29 am

Bilioni Nne Kunufaisha Halmashauri ya Nsimbo

Halmashauri ya  Nsimbo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imepata zaidi ya shiling bilioni nne kwa ajili  ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo vyumba vya madarasa. Akizungumza na kituo hiki mkurugenzi wa halmashauri hiyo Mohamed Ramadhani amesema kuwa  kupatikana fedha…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.