Nuru FM
Nuru FM
17 July 2022, 1:33 pm
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo hii leo Julai 17, 2022 na kuwapongeza wakandarasi waliofanikisha usimamizi na ujenzi…
12 July 2022, 4:49 pm
WANANCHI wa wilaya ya Iringa wametakiwa kujitokeza kuhesabiwa siku ya SENSA ili kutengeneza taswira halisi ya serikali kujua idadi ya wananchi kwa lengo la kuwapelekea maendeleo kulingana na idadi iliyopo kila eneo. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama,…
12 July 2022, 4:42 pm
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna maradhi mapya ambayo yamezuka mkoani Lindi na kila wakati mapya yanaibuka wakati huko nyuma hayakuwepo. Rais Samia ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki…
12 July 2022, 4:40 pm
Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo kutokana na kupimwa vibaya. Faridah Kiconco mwenye umri wa miaka 37, alianza…
11 July 2022, 8:48 am
Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika hapa nchini tarehe 23/8/2022. Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Iringa Mh. Ritta Kabati ambaye Pia…
11 July 2022, 8:24 am
Dereva wa basi la shule, Odunsa Mandala anashikiliwa na Polisi baada ya wanafunzi wawili kufariki huku wengine wakizimia kutokana na kukosa hewa katika basi lao la shule eneo la Aguda katika jimbo la Lagos. Mandala, alikuwa akiendesha basi kuwarudisha wanafunzi…
11 July 2022, 8:02 am
Taasisi ya Raising Up Friendship Foundation (RUFFO) imeitaka jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuwa na utamaduni wa kuwasaidia wanafunzi taulo za kike jambo ambalo litawasaidia kukabiliana na dharura wakati wa kuapata hedhi wakiwa shuleni. Imeelezwa kuwa baadhi ya watoto…
8 July 2022, 7:29 am
CHAMA cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepata pigo kufuatia Diwani wake wa Kata ya Mahohe Mohamed Ngonde, kufariki leo alfajili Akizungumza kwa njia ya simu Katibu wa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Busoro Pazi, alisema…
4 July 2022, 4:19 pm
Nyumba inayojengwa kwa familia ya watu watatu wenye ulemavu katika kijiji cha Lulanzi Kilichopo Kata ya Mititu Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa imefikia hatua ya kupigwa plasta, kuwekwa milango na madirisha. Akizungumza na Nuru fm kuhusu maendeleo ya ujenzi huo,…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.