

16 April 2021, 8:04 am
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Ritta Kabati ameishauri serikali kuipatia fedha za kutosha wakala wa barabara Vijijini na Mijini TARULA ili ziweze kukarabati barabara za mkoa wa Iringa. Mh. Kabati ameyasema hayo…
16 April 2021, 7:35 am
Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwakatia bima za afya zitakazo wawezesha kupata huduma pindi wanapokutana na changamoto za kiafya. Wakizungumza na nuru fm baadhi ya watoto hao wamesema kuwa ni vyema serikali ikawakatia bima…
15 March 2021, 10:59 am
Waandishi wa habari wa redio za jamii nchini wametakiwa kuelimisha jamii juu ya kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni dhidi ya wanawake na watoto hayo yamezungumzwa na afisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Arusha Angela Kiama Mvaa katika…
15 February 2021, 12:41 pm
Wafanyakazi wa Kituo cha Redio NURU FM kilichopo Manispaa ya Iringa wamesherehekea sikukuu ya Wapendao kwa kutembelea kituo cha Huruma Center ambacho kinalelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza mara baada ya kutembelea Kituo hiko Afisa Utawala wa…
11 February 2021, 1:54 pm
Madereva Bajaji manispaa ya iringa wamelalamika ubovu wa miundombinu ya barabara hasa katika kipindi hiki cha mvua jambo linasosababisha vyombo vyao kuharibika.Hapa nakutana na Madereva hao wa Pikipiki za Matairi matatu maarufu kwa jina la Bajaji, wanazungumza jinsi ubovu wa…
26 January 2021, 12:00 pm
Wafamasia Manispaa ya Iringa wamewashauri vijana kuacha kuchangia vifaa vyenye ncha kali ili kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
26 January 2021, 11:40 am
Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa…
26 January 2021, 10:59 am
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuweka mazingira Rafiki na wezeshi kwa ajili ya kuendeleza Ubunifu unaofanywa na Vijana mkoani Iringa ili waweze kusaidia ukuaji wa Teknolojia
11 January 2021, 7:45 am
Wazazi na walezi mkoani iringa wametakiwa kushiriki vyema katika malezi na matunzo ya mtoto lengo likiwa ni kumstawisha mtoto katika hali ya maadili Akizungumza na Nuru fm katibu tawala mkoa wa iringa Happiness seneda amesema kuwa anayo majukumu ya kimkoa…
31 December 2020, 10:18 am
Naibu waziri wa viwanda na biashara mhe. Exsaud Kigahe, amewataka wawekezaji nchini, kuona umuhimu wa kujenga viwanda vya kuchakata mazao katika maeneo zinakopatikana kwa wingi malighafi zitokanazo na kilimo. Mhe. Kigahe amesema hayo wakati alipowatembelea wakazi wa kata ya mapanda…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.