Nuru FM
Nuru FM
17 April 2023, 5:00 pm
Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Mkoa wa Iringa MNEC Salim Asas amekuwa akishiriki katika shughuli za miradi ya kimaendeleo Mkoani Iringa jambo ambalo linapaswa kuigwa na wadau wengine. Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Ritta…
17 April 2023, 4:41 pm
Wananchi wa Iringa wanashindwa kufanya shughuli za kiuchumi kutokana na ubovu wa miundombinu ya Barabara. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kukarabati barabara Korofi za Mkoani Iringa ambazo zimekuwa hazipiti katika kipindi cha Mvua ili kufungua shughuli za kiuchumi. Hayo yamezungumzwa…
17 April 2023, 1:40 pm
Mashindano ya kuhifadhi Quran Nyanda za juu kusini yalihusisha Mikoa ya Iringa Njombe na Dodoma kama Mgeni Mwalikwa huku vijana wakishindana kuanzia juzuu ya 1 mpaka ya 25 Iringa Mjini. Na Hafidh Ally Kijana Mustafa Hamad kutoka Madrasa ya DAR-…
17 April 2023, 12:08 pm
Maadili yameshuka kwa Kasi hivyo ni jukumu la wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kufuata misingi ya Dini. Na Hafidh Ally Wazazi wametakiwa kuwale watoto katika Maadili Mema ili kuwaepusha watoto na matukio ya ukatili dhidi ya watoto yanayosababishwa na…
14 April 2023, 7:20 pm
Fedha hizo zitasaidia kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo katika Jamii. Na Halfan Akida Mbunge wa jimbo la Nsimbo, Mh Anna Lupembe ameishukuru serikali kwa kutoa bilioni 6.2 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Nsimbo, mkoani katavi. Lupembe amesema hayo leo…
14 April 2023, 5:16 pm
Package ikieleza wazazi manispaa ya Iringa wametakiwa kuishi kwa upendo na kuepusha migogoro ndani ya familia ili waweze kuwalea watoto wao katika malezi chanya.
14 April 2023, 4:59 pm
Kodi za vifaa tiba zinapelekea vifaa hivyo kuchelewa bandarini kutokana na kutokuwepo kwa mpango mzuri wa kuviruhusu ili vikatoe huduma kwa wagonjwa. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kuweka mpango mkakati wa kuondoa Kodi ya vifaa tiba kutoka Bandarini ili viweze…
13 April 2023, 1:37 pm
Wananchi Kata ya Kimara Wilaya ya Kilolo wanakutana na changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya kutokana na kutokuwepo kwa kituo Cha afya. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kujenga kituo cha afya katika Kata ya Kimara Wilaya ya…
11 April 2023, 7:41 pm
Mkazi wa Nzihi anakamatwa na polisi kwa kosa la kumlawiti mtoto wake wa kumzaa. Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linamshikilia Aman Martin Mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya wilaya ya iringa kwa tuhuma za kumlawili…
11 April 2023, 11:32 am
Wanawake wajawazito wamekuwa wakipata shida wanapotaka kwenda kujifungua kutokana na ubovu wa Barabara hiyo. Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Dkt. Ritta Kabati amehoji mpango wa serikali kukarabati Barabara ya Mtandika – ikula ambayo imekuwa kero…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.