Nuru FM

Recent posts

10 May 2022, 7:47 am

Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi ikipokea magari 4,300

Meli kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4,397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam na kuvunja rekodi, ikiwa na idadi kubwa ya magari kuwasili kwa mara moja katika bandari hiyo. Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Nicodemas…

10 May 2022, 7:36 am

Rais Samia Kuanza Ziara Ya Kiserikali Nchini Uganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia tarehe 10 – 11 Mei, 2022 kwa mualiko wa Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda.…

10 May 2022, 6:36 am

Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Wabadhirifu MSD wachukuliwe hatua

Wziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua. Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe…

6 May 2022, 8:08 am

Wachezaji Mbeya Kwanza FC wapongezwa

Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza FC Mbwana Makata ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kazi kubwa waliyoifanya dhidi ya Tanzania Prisons jana Alhamis (Mei 05), Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma mjini Songea. Mbeya Kwanza FC iliyokuwa mwenyeji wa mchezo huo,…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.