Nuru FM

Recent posts

20 May 2022, 7:35 am

Umoja wa Ulaya waruhusu kuendelea kununua gesi kutoka Urusi

Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imeziruhusu nchi wanachama kuendelea kununua gesi kutoka Urusi lakini bila ya kukiuka vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi baada ya nchi hiyo kuimavia Ukraine. Hata hivyo Halmashauri hiyo inazishauri nchi wanachama kutofungua akaunti za sarafu…

20 May 2022, 7:13 am

Simba SC yatangaza mpango wa ASFC

Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuweka kambi jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ utakaowakutanisha dhidi ya Young Africans Jumamosi (Mei 28), katika Uwanja wa CCM Kirumba. Simba SC imetangaza rasmi…

15 May 2022, 1:08 pm

Mkemia Mkuu wa Serikali aonya matumizi holela ya madawa

Mkemia Mkuu wa Serikali Daktari Fidelis Mafumiko ameionya jamii kuepuka ununuzi na matumizi holela ya dawa zisozosajiliwa wala kuthibitishwa na mamlaka husika ikiwemo kuangalia aina za viambata au kemikali zilizotumika katika kutengeneza dawa hizo. Dk. Mafumiko ameyasema hayo alipotembea banda…

15 May 2022, 1:05 pm

Wachimbaji wadogo wa madini wakiri kutoelewa sheria za madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amemwagiza Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida kutoa elimu kuhusu Sheria ya Madini kwa wachimbaji wadogo wa madini ili waendeshe shughuli zao kwa kufuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Madini. Dkt. Kiruswa ametoa…

15 May 2022, 1:02 pm

Kupatwa kwa mwezi mei 15 na 16

Siku ya leo mei 15 na Mei 16 huenda likatokea tukio la kupatwa kwa mwezi kwa mujibu wa utafiti wa NASA, ambapo mwezi utakua karibu na Dunia na utaonekana kwa ukubwa zaidi ukiwa na rangi nyekundu.   Kwa mujibu wa…

14 May 2022, 8:32 am

Naibu Waziri Ridhiwani Awataka Watendaji Sekta Ya Ardhi Kutenda Haki

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanatoa haki wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa wananchi. Alisema, utoaji haki uko katika sura tofauti kuanzia zoezi la utoaji hati,…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.