Nuru FM

Recent posts

8 June 2022, 3:23 pm

Majaliwa ang’aka pikipiki za Maafisa Ugani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na kuzikabidhi kwa wakurugenzi. Ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Juni 8, 2022) alipokagua Ofisi za…

8 June 2022, 3:18 pm

Rais Samia awafagilia mawaziri vijana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatano (Juni 08) ameanza ziara ya kikazi mkoani Kagera, kwa kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Buharamuro. Rais Samia alisismama wilayani humo akiwa safarini kuelekea Wilaya…

4 June 2022, 7:26 am

TBS yawataka wananchi kuhakikisha chakula kinakuwa salama

KATIKA kuelekea Siku ya Usalama wa Chakula Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kila mmoja achukue nafasi yake katika kuhakikisha chakula kinakuwa salama kwa mlaji ili kuepuka magonjwa yanayosababishwa na kula chakula kisichokuwa salama. Akizungumza na waandishi wa…

21 May 2022, 11:28 am

Wafanyakazi wa Nuru Fm Watoa msaada kwa wafungwa Iringa

Wafanyakazi wa Redio Nuru fm wakishirikiana na watuma salamu Mkoa wa Iringa wamewatembelea wafungwa wa Gereza la iringa manispaa na kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali. Wakizungumza wakati wa kukabidhi mahitaji hayo yakiwemo mablanketi, mashuka, nguo, mafuta ya kupaka, sabuni za…

21 May 2022, 11:16 am

Wakwamishaji miradi Kigoma kukiona

Baraza la madiwani Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji limeazimia kwa kauli moja kuchukulia hatua kwa viongozi wa wafanyabiashara wanaokwamisha mpango wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Kigoma na Mwanga. Akiwasilisha ajenda maalum ya kujadili ujenzi wa masoko hayo…

21 May 2022, 11:14 am

Wauzaji nishati ya gesi wahimizwa matumizi ya mizani

Wauzaji na wasambazaji wa nishati ya gesi wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na mizani ya kupimia kiwango stahiki cha gesi kama sheria inavyoagiza. Wito huo umetolewa na Meneja wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na Maji (EWURA), Kanda ya kaskazini…

20 May 2022, 7:48 am

Machinga Kutungiwa Sheria Ya Kuwalinda

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema Serikali imeanza mchakato wa kutunga Sheria ya kuwalinda wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama ‘machinga’. Dkt. Zainab ametoa kauli hiyo  jijini Dodoma Mei 19, 2022…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.