Nuru FM
Nuru FM
20 May 2024, 8:52 pm
Katika kuhakikisha vijana wanaingia kwenye kilimo, zaidi ya shilingi milioni 100 zimetengwa ili kuongeza thamani ya sekta hiyo kwa mkoa wa Iringa. Na Aadelphina Kutika Vijana wapatao hamsini (50) mkoani Iringa wamekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya shilingi millioni 100 ikiwa…
17 May 2024, 12:17 pm
Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, imemuhukumu Mohamed Omary Salahange (38) kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wake wa kike wa kufikia kwenye kesi namba 8112/2024 iliyokuwa ikimkabili. Akisoma hukumu hiyo Hakimu…
17 May 2024, 8:54 am
Wizi wa mifugo umekuwa desturi iliyoenea na wakati mwingine inayosababisha wafugaji kuwa maskini jambo lililopelekea jamii hiyo kuazimia namna ya kukabiliana na changamoto. Na Joyce Buganda Wizi wa mifugo watajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wadau wa ufugaji mkoani iringa huku…
16 May 2024, 11:30 am
Kikosi cha Usalama Barabarani, Mkoa wa Iringa kimeanza kutoa elimu ya umuhimu wa kuweka viakisi mwanga kwenye magari ili kupunguza ajali za barabarani hasa kwenye maeneo hatarishi nyakati za usiku. Na Hafidh Ally Madereva wa vyombo vya moto wameshauriwa kuweka…
14 May 2024, 7:50 pm
Mfumo mpya wa manunuzi utakuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma pindi wanapofanya manunuzi ya mali za umma. Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa ,Peter Serukamba ameziagiza Taasisi za umma Mkoani Iringa ambazo hazijaanza kutumia mfumo…
14 May 2024, 10:19 am
Matumizi ya Kompyuta yameongeza ufanisi katika ufundishaji Hali inayochangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Mkoani Iringa. Na Adelphina Kutika Mfumo wa kutumia teknolojia ya Kompyuta katika kufundishia mashuleni umeonesha ni mfumo unaorahisisha ufundishaji na kukuza hamasa kwa wanafunzi ya kupenda kusoma…
10 May 2024, 12:32 pm
Waajiri wanaoshindwa kuwapa Fursa ya kupata mafunzo waajiriwa wao waonywa ili kuongeza uelewa kwa watendaji hao. Na Adelphina Kutika Serikali imechukizwa na kitendo cha baadhi ya Waajiri wa Taasisi za Umma kwa kutowaruhusu na kuwagharamia Wanachama wa Chama cha Taaluma…
10 May 2024, 12:24 pm
Zao la chai limeandaliwa mikakati ili kuwanufaisha wakulima na wadau wa zao hilo Mkoani Iringa. Na Joyce Buganda Wadau wa chai nchini wametakiwa kutoyatelekeza mashamba yao ya chai kwani kwa sasa zao hilo limeonekana kufumuka upya kwa uthamani pamoja na…
8 May 2024, 12:33 pm
Watunza kumbukumbu za Mamlaka za Serikali wametakiwa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za serikali wanapotekeleza majukumu yao. Na Adelphina Kutika Wanataaluma wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) wametakiwa kuzingatia miiko ya taaluma yao hususan utunzaji…
8 May 2024, 12:24 pm
Zaidi ya wakulima 1000 mkoani Iringa wamenufaika na mafunzo kutoka Taasisi ya Trees for the future. Na Joyce Buganda Taasisi ya TREES FOR THE FUTURE imewataka wahitimu wao kufanya kwa vitendo mafunzo waliyoyapata ili yaweze kuwa na tija na manufaa…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.