Nuru FM

Recent posts

20 April 2023, 2:50 pm

Viongozi wa Dini na Serikali waungana Kupinga ulawiti na Ushoga Iringa

Matukio ya ulawiti na Ushoga yamezidi kukithiri katika Jamii jambo lililopelekea Viongozi wa Dini na Serikali kukemea vikali. Na Hafidh Ally Viongozi wa Dini na serikali Mkoani Iringa wameungana kupinga vita vitendo vya ulawiti na ushoga ambavyo ni kinyume na…

19 April 2023, 1:18 pm

Mwanahabari Rashid Msigwa Afariki Dunia katika ajali Eneo la ipogolo

Na Mwandishi wetu Mwanahabari Rashid Msigwa Mkazi wa Igumbilo Manispaa ya Iringa amefariki katika ajali iliyotokea eneo la Ipogolo usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Msigwa…

17 April 2023, 4:41 pm

Mbunge Kabati aiomba Serikali kukarabati Barabara korofi Iringa.

Wananchi wa Iringa wanashindwa kufanya shughuli za kiuchumi kutokana na ubovu wa miundombinu ya Barabara. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kukarabati barabara Korofi za Mkoani Iringa ambazo zimekuwa hazipiti katika kipindi cha Mvua ili kufungua shughuli za kiuchumi. Hayo yamezungumzwa…

17 April 2023, 12:08 pm

Waziri Masauni awataka Wazazi kusimamia maadili kwa watoto

Maadili yameshuka kwa Kasi hivyo ni jukumu la wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kufuata misingi ya Dini. Na Hafidh Ally Wazazi wametakiwa kuwale watoto katika Maadili Mema ili kuwaepusha watoto na matukio ya ukatili dhidi ya watoto yanayosababishwa na…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.