Nuru FM

Recent posts

16 March 2023, 12:01 pm

Zaidi ya Mafundi smart 1800 kukutana march 17 kupeana Fursa

Kongamano la Mafundi Smart lina lenga kuonesha fursa za ajira kwa kundi hilo na kukuza kipato chao. Na Mwandishi wetu ZAIDI ya mafundi wa aina mbalimbali 1800 wanatarajia kukutana pamoja katika kongamano kubwa litakalo fanyika Mjini Iringa lengo kubwa likiwa…

13 March 2023, 12:57 pm

Elimu Matumizi Mitandao kwa Watoto

Kutokana na kukua kwa teknolojia wazazi wametakiwa kuwafundisha watoto wao matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Na Joyce Buganda. Mtaalamu wa masuala ya teknolojia na Tehama wilayani Mufindi Bw. Hasan Chunya amesema  juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii…

13 March 2023, 12:21 pm

Wasanii Wakemea Ukatili Iringa

Kufuatia matukio ya kikatili yanayoendelea kushamiri katika mkoa wa Iringa wasanii wenye asili ya Iringa wameamua kuungana kutengeneza filamu yenye maudhui ya kupinga ukatili. Na Adelphina Kutika. Wasanii maarufu  wa filamu nchini ambao  asili yao kutoka  mkoa wa Iringa  wamesema…

7 March 2023, 4:27 pm

Polisi Watoa Elimu Kukemea Ukatili Iringa

Kufatia kukithiri kwa matendo ya kikatili katika mkoa wa Iringa Jeshi la Polisi linaendeleza kampeni ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili. Na Joyce Buganda. Jeshi la polisi Mkoani Iringa linandelea na kampeni ya kutoa elimu katika makundi mbalimbali  kuhusu mambo…

3 March 2023, 4:46 pm

Majangili Wanaswa na Meno ya Tembo

Hii ni moja ya mafanikio ya misako inayofanyika na jeshi la polisi mkoa wa Iringa wakishirikiana na TANAPA. Na Adelphina Kutika. Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (Runapa) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata watu watatu mjini…

3 March 2023, 4:18 pm

Dhamana Kizungumkuti Iringa

Wameomba elimu hiyo mara baada ya kupata usumbufu ambao wamekuwa wakipitia wakati mgumu wakifuatilia dhamana. Na Joyce Buganda. Wakazi wa Manispaa ya Iringa  wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu kuhusu  suala la  dhamana ili kuwapunguzia adha pindi wanapohitaji huduma hiyo. Wakizungumza…

1 March 2023, 2:24 pm

Wodi yazinduliwa Kilolo -Wanawake kunufaika

Wodi yenye thamani zaidi ya milioni 190 yajengwa Ipalamwa baada ya kuteseka muda mrefu kwa wananchi hao. Na Joyce Buganda. Zahanati ya Ipalamwa chini ya shirika la GLOBAL VOLUNTEER wilaya ya Kilolo imezindua wodi ya kinamama wanaotarajia kujifungua yenye thamani…