Nuru FM
Nuru FM
2 December 2025, 10:38 am

Na Joyce Buganda
Tanzania inatarajiwa kunufaika na fedha hadi dola million 20 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia mfuko wa kukabiliana na hasara na uharibifu. Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kuangalia jinsi wakulima wanavyoweza kunufaika na mradi huo.