Nuru FM
Nuru FM
18 November 2025, 11:41 am

Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, maarufu kama
Conference of the Parties — COP 30, unaendelea huko Belem nchini Brazil, ambapo
Tanzania ikiwa imewasilisha agenda kumi na mbili.
Na Joyce Buganda
Nuru Fm imekuandalia makala fupi kuhusu athari zinazowakumba wakulima wadogo Mkoani Iringa kutokana na mabadiliko ya tabianchi ambapo utawasikia wakulima, wataalamu wa masuala ya kilimo na tabianchi wakizungumzia mada isemayo Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi – COP 30 unavyoleta Mwanga kwa Wakulima Wadogo Iringa.