Nuru FM
Nuru FM
17 October 2025, 9:04 am

Makala hii inaelezea Jinsi Taasisi Binafsi na za Kiserikali zinavyoshiriki kuhamasisha wanawake kujihusisha na masuala ya Uchaguzi na siasa.
Na Hafidh Ally na Dorice Olambo
Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani Taasisi Binafsi, za Kidini na za Kiserikali zinavyohakikisha wanawake wanapewa fursa ya kushiriki katika Uchaguzi na siasa.