Nuru FM

Changamoto wanazopitia wanawake wanapojihusisha na siasa

24 September 2025, 10:27 am

Cover ya kipindi cha Safari ya Uchaguzi kinachoruka hapa Nuru FM. Na Hafidh Ally

Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025.

Na Hafidh Ally na Dorice Olambo

Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, zimeonekana baadhi ya changamoto zinazopelekea wanawake washindwe kujihusisha na masuala ya kisiasa ikiwemo Uoga, Uchumi mdogo na Rushwa ya Ngono, Nuru FM imekuandalia makala kujua ni kwa kiwango gani changamoto hii inaathiri mchakato wa wanawake kushiriki katika siasa huo. Karibu