Nuru FM
Nuru FM
18 September 2025, 12:23 pm

Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi
Na Adelphina Kutika
Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa.
Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa Kheri James Akiwa mgeni rasmi katika semina ya mafundi ujenzi kutoka wilaya zote za Iringa, RC James amesema matumizi ya bidhaa za ndani ni njia ya kizalendo ya kukuza ajira na sekta ya uwekezaji.
MWANAHABARI WETU ADELPHINA KUTIKA AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………
