Nuru FM
Nuru FM
13 September 2025, 9:04 am

Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara.
Na Adelphina Kutika
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na kuimarisha utamaduni wa ulipaji kodi kwa hiari.
MWANAHABARI WETU AZORY OREMA AMETUANDALIA UNDANI WA TAARIFA HII
