Nuru FM
Nuru FM
1 September 2025, 11:58 am

Miradi hiyo inalenga kuongeza fursa na ubora wa elimu kwa wanafunzi wote hapa nchini.
Na Ayoub Sanga
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Kheri James, amefanya ziara katika Chuo Kishiriki cha Mkwawa kilichopo Manispaa ya Iengo ikiwa ni kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali yenye thamani ya takribani shilingi bilioni 29.
MWANAHABARI WETU NURU JOHN AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI…………….
MWISHO