Nuru FM
Nuru FM
18 July 2025, 11:01 am

Zoezi hilo limefanyika katika soko la Machinga lililopo eneo la Mlandege, likihusisha Umoja wa wafanyabiashara , idara ya masoko, maendeleo ya jamii na ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa.
Na Godfrey Mengele
Serikali ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na uongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara imefanya zoezi la kuwagawia maeneo ya mbadala ya biashara kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao katika janga la moto lililotokea usiku wa kuamkia Julai 12 katika soko la Mashine Tatu, Iringa Mjini.
Mwanahabari wetu Godfrey Mengele ametuandalia taarifa kamili…….
