Nuru FM
Nuru FM
11 June 2025, 11:31 am

Makala inaelezea je, Vyama vya Siasa vina Miongozo inayowapa nafasi wanawake kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025?
Na Hafidh Ally na Dorice Olambo
Katika kuondokana na changamoto ya wanawake Kushindwa kushiriki kwenye nafasi za uongozi katika uchaguzi, Nuru FM imeandaa makala yenye lengo la kuvifanya vyama vya siasa kuwa na mtazamo chanya kuhusu wanawake kuwa viongozi na kuwapa nafasi.