

18 March 2024, 11:23 am
Maazimio 15 yamefikiwa kuelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa ili kuongeza ushirikiano kati ya Polisi na Wanahabari.
Na Mwandishi wetu.
Jeshi la Polisi na waandishi wa habari mkoani Iringa wameweka maazimio 15 yatakayowaongoza kufanya kazi na kujenga uwezo wa kiusalama na kiulinzi kati ya waandishi wa habari na jeshi la polisi mkoa wa Iringa.
Hayo yamejiri baada ya kukamilika kwa midahalo minne ya ulinzi na usalama wa waandishi wa habari, ambayo imedhaminiwa na ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ณ๐ ๐๐๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ (๐๐๐๐) ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐ ๐๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ ๐ฅ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐ญ๐๐ข๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐๐ฒ๐จm๐๐จ ๐ฏ๐ฒ๐ ๐๐๐๐๐ซ๐ข (๐๐๐) lenye lengo la kujenga uwezo wa kiusalama na kiulinzi kwa waandishi wa habari.
Akizungumza katika utiliwaji wa saini wa maazimio hayo, ๐๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ค๐ข๐ญ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐๐ค๐จ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ ๐ซ๐๐ง๐ค ๐๐๐จ๐ง๐๐ซ๐ amesema makubaliano hayo, yakizingatiwa kwa makundi yote mawili, yataleta ufanisi kwa makundi hayo akiwataka waandishi wa habari na jeshi la polisi kuzingatia misingi ya maadili na taaluma ya kazi zao, huku akiwakumbusha waandishi wa habari kwamba hakuna habari kubwa kama maisha yao.
๐๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ฐ๐๐ค๐, ๐๐๐ฆ๐๐ง๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐จ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข ๐๐ค๐จ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ฅ๐ฅ๐๐ง ๐. ๐๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ข amesema makubaliano hayo ni muhimu hasa tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa huku akitoa rai kwa makundi yote mawili kuzingatia makubaliano hayo ili kufikia lengo la mashikiano hayo.
๐๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐๐ค๐จ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐๐๐ค๐ข๐ฆ๐ฎ ๐๐ฐ๐๐๐จ๐ง๐ ๐จ ๐๐ฆ๐๐ฌ๐จ๐ฆ๐ ๐ฆ๐๐๐ณ๐ข๐ฆ๐ข๐จ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐๐,baadhi yakiwa ni kuimarisha ushirikiano kwa makundi hayo, kufanya tathmini ya pamoja ya makubaliano hayo kila baada ya miezi mitatu, UTPC na wadau wengine kuendelea kutoa mafunzo ya ulinzi na usalama na waandishi wa habari kuzingatia usalama wao wanapochukua habari ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ ๐ฏ๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ง๐ข ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ข๐ ๐ฐ๐๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ฎ๐ก๐ฎ๐๐ข๐ ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐๐๐ฅ๐ข๐๐ง๐จ.