Nuru FM

Recent posts

17 April 2023, 12:08 pm

Waziri Masauni awataka Wazazi kusimamia maadili kwa watoto

Maadili yameshuka kwa Kasi hivyo ni jukumu la wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kufuata misingi ya Dini. Na Hafidh Ally Wazazi wametakiwa kuwale watoto katika Maadili Mema ili kuwaepusha watoto na matukio ya ukatili dhidi ya watoto yanayosababishwa na…

14 April 2023, 5:16 pm

Makala ikielezea malezi bora kwa watoto

Package ikieleza wazazi manispaa ya Iringa wametakiwa kuishi kwa upendo na kuepusha migogoro ndani ya familia ili waweze kuwalea watoto wao katika malezi chanya.

14 April 2023, 4:59 pm

Kabati aiomba Serikali Kufuta Kodi ya vifaa tiba.

Kodi za vifaa tiba zinapelekea vifaa hivyo kuchelewa bandarini kutokana na kutokuwepo kwa mpango mzuri wa kuviruhusu ili vikatoe huduma kwa wagonjwa. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kuweka mpango mkakati wa kuondoa Kodi ya vifaa tiba kutoka Bandarini ili viweze…

11 April 2023, 7:41 pm

Polisi Iringa wamshikilia Baba aliyemlawiti mwanaye wa kumzaa.

Mkazi wa Nzihi anakamatwa na polisi kwa kosa la kumlawiti mtoto wake wa kumzaa. Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linamshikilia Aman Martin Mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya wilaya ya iringa kwa tuhuma za kumlawili…

11 April 2023, 11:32 am

Mbunge Kabati aomba serikali kukarabati Barabara ya Mtandika kwenda ikula

Wanawake wajawazito wamekuwa wakipata shida wanapotaka kwenda kujifungua kutokana na ubovu wa Barabara hiyo. Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Dkt. Ritta Kabati amehoji mpango wa serikali kukarabati Barabara ya Mtandika – ikula ambayo imekuwa kero…

6 April 2023, 10:53 am

Bilioni 1 kuweka Taa za Barabarani 180 Mafinga Mkoani Iringa

Mradi huo unagharamiwa kwa pamoja kati ya halmashauri ya mji huo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) watakaochangia Sh Milioni 500 kila mmoja. Na Frank Leonard KIASI cha Sh Bilioni moja kinatarajiwa kutumika kuweka taa 180 za barabarani zitakazotandazwa kwa…

5 April 2023, 12:41 pm

Wazazi Wapeni nafasi watoto kushiriki michezo

Wazazi wametakiwa kutenga muda wa kushiriki katika michezo baada ya masomo na kuwanunulia vifaa vya michezo ili wawe na afya bora. Na Adelphina Kutika Wazazi na  wazazi Manispaa ya Iringa wametakiwa  kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.