Nuru FM
Nuru FM
5 April 2023, 12:10 pm

Wafanyabiashara Manispaa ya Iringa wamesema kuwa bei ya bidhaa za vyakula katika kipindi kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani haijapanda ila kuna changamoto ya ukosefu wa wateja.
Na Bertina Chambila