Recent posts
24 January 2023, 7:10 am
Ahukumiwa Jela miaka 30 kwa kumbaka dada yake
FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la kumbaka dada yake wa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15. Akizungumza na waandishi wa habari,…
23 January 2023, 10:36 am
Watoto watatu wa familia wateketea kwa moto
Watoto watatu wa familia ya BI Karesma Theodory wa wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto unaodhaniwa kusababishwa na Bibatari. Tukio hilo lililoibua simanzi, lilitokea usiku kijijini humo kwa kile kinachodaiwa chanzo ni kibatari ambacho…
22 January 2023, 10:45 am
Uzalishaji wa sukari umeongezeka hapa Nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023…
14 January 2023, 7:55 am
TMA yatahadhari mvua kubwa mikoa sita
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa zinazoweza kunyesha hii leo Jumamosi Januari 14, 2023 katika maeneo machache ya mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Iringa, Njombe na Ruvuma. TMA kupitia taarifa yake…
14 January 2023, 7:52 am
Serikali yasisitiza Huduma Ya Kujipima Vvu Mahala Pa Kazi Yaanza
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeanzisha huduma ya kujipima VVU mahala pa kazi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma ya vipimo vya VVU kwa watumishi makazini hasa wanaume, ambapo hadi kufikia Desemba 2022 watu wapatao 96,231 wamepatiwa huduma ya JIPIME mahala…
6 January 2023, 4:55 pm
Maumivu kwa jamii bei za vyakula zikizidi kupaa
Shirika la Chakula Duniani, FAO, limesema bei za vyakula duniani zilipungua mwezi Desemba na kuashiria kushuka kwa mwezi wa tisa mfululizo, ingawa zilifikia kiwango cha juu zaidi katika rekodi ya mwaka mzima wa 2022. Faharasa ya bei ya chakula ya…
27 December 2022, 8:33 am
Maiti zilizokosa ndugu, jamaa zazikwa rasmi Dodoma
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19, ambazo zimekosa ndugu wa kuzima heshima za mwisho na kuwapa pumziko. Hatua hiyo, imethibitishwa na Ofisa Afya Usafishaji wa Jiji la Dodoma,…
18 December 2022, 12:41 pm
Iringa yapaa Kimataifa uhifadhi wa Mazingira
Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Tanzania imepaa tena kimataifa baada ya mji wa Iringa kuorodheshwa kuwa ni mojawapo kati ya miji 15 Duniani, ambayo inazingatia usafi na utunzaji wa Mazingira. Ngwada ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi…
16 December 2022, 5:38 pm
Watalii kufurahia utalii wa kulisha wanyama- Bateleur Safari yawaahidi furaha
Utalii wa kulisha wanyama umetajwa kuwafurashisha zaidi watalii pindi wanapoenda katika ziara Hiyo ambayo safari hii itafanyika huko Jijini Arusha. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Kitengo Cha Masoko kutoka kampuni ya usafirishaji watalii ya Bateleur Safari & Tours iliyopo Mkoani…
16 December 2022, 5:13 pm
Serikali Yatoa Milioni 50 Kumalizia Ujenzi Wa Zahanati Mtumile
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeahidi kutoa fedha ili kumalizia ujenzi wa boma la zahanati ya Mtumile baada ya nguvu kazi za wananchi kufikia hatua ya kuezeka bati. Kauli hiyo imetolewa na Waziri…