Jamii FM

Recent posts

31 January 2023, 12:07 pm

Wanawake washauriwa kukuza kipato cha familia

“Wanawake wa Mkoani Mtwara wameshauriwa kupambana katika kutafuta  na kuongeza kipato cha familia  na kuachana na tabia ya kuwaacha wanaume pekee katika kutekeleza majukumu ya Nyumbani.“ Na Mohamed Massanga Akizungumza na Jamii fm Radio Mwenyekiti wa kikundi cha ‘’LIYAKAYA  WOMENI GROUP’’…

31 January 2023, 12:06 pm

Mama mjamzito akitumia dawa za kulevya zinamuathiri mtoto kuanzia tumboni

Mama mjamzito anayetumia madawa ya kulevya ana kiwango kikubwa cha kumuathiri mtoto akiwa tumboni, na wengi wao wanapoteza maisha wakati wa kujifungua. Na Gregory Millanzi Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama kwenye mfumo wake wa  uzazi na…

30 January 2023, 12:26 pm

Wapelekeni watoto waanze darasa la awali na la kwanza

Na Gregory Millanzi Wazazi na walezi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, wametakiwa kuwaandikisha watoto wenye umri wa miaka minne kwa ajili ya kuanza darasa la awali, na wenye umri wa miaka 6 kujiunga na darasa la kwanza  mwaka…

19 December 2022, 11:27 am

Kipindi: Wanawake na Msimu wa Korosho

Na Grace Hamisi sikiliza makala haya juu ya kinachotokea kwa wanawake mara baada ya msimu wa korosho kuisha.   Sikiliza Hapa  

30 November 2022, 18:07 pm

Ufafanuzi juu ya adhabu za kujihusisha na Dawa za kulevya

Na Musa Mtepa, Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imejipanga kuweka adhabu kali kwa watu wote wanaojihusisha  uuzaji na madawa ya kulevya ikiwemo  Walimaji na watumiaji wa Bangi nchini. Wakiwa kwenye Wiki ya Maadhimisho ya siku ya…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.