Nuru FM
Wafanyabiashara Iringa mjini wavunjiwa vibanda vyao usiku
16 January 2025, 12:37 pm
Na Azory Orema
Wafanyabiashara wadogo pamoja na ofisi zilizokuwa katika eneo la MR mpaka wa kata ya miyomboni na kata ya makorongoni halmashauri ya manispaa ua iringa wamelelamikia vibanda vyao kubomolewa pasipo kupewa notice ya ubomoaji.
Zoezi hilo la ubomoaji limefanyika usiku wa kuamkia jan 15, 2025 majira ya 9 hadi 10 alfajiri ambapo kwa mujibu wa wafanyabiashara wanasema ubomoaji huo umeleta hasara katika biashara zao.
MWANAHABARI WETU AZORY OREMA AMEFUATILIA TAARIFA HII NA KUTUANDALIA RIPOTI KAMILI