Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
22 February 2023, 15:31
Isidory Matandula Imeelezwa kuwa asilimia 99 ya watu wanaokufa kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa, wanakufa kwasababu waling’atwa na Mbwa mwenye kichaa na asilimia moja tu ndio wanakufa kwa kung’atwa wanyama wengine . Hayo yamebainishwa na Dkt Sambo Maganga…
21 February 2023, 15:40
Na Elias Maganga Mwenyekiti wa Kijiji cha Machipi Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero Bwana Philip Mwitumba amesema Ujenzi wa jengo la zahanati umefikia hatua ya kupaua na unatarajiwa kukamilika machi 16 mwaka huu. Bwana Mwitumba amesema mradi wa…
21 February 2023, 15:07
Na Rifat Jumanne Watafiti kutoka Taasisi ya utafiti wa Afya Ifakara wameanzisha program maalum ya kutumia ndege zisizo na rubani {Drones} ambazo zitakuwa na uwezo wa kuzunguka na kunyunyizia dawa ili kudhibiti ugonjwa wa malaria katika Mji wa Ifakara. Hayo…
19 February 2023, 16:13
Na Rifati Jumanne Katika kuhakikisha Halmashauri ya Mji wa Ifakara inarejea katika usafi wa mazingira,mashirika yasiyo ya kiserikali Wilayani Kilombero imewaomba Halmashauri ya Wilaya kuandaa mikakati maalumu ili wao waitekeleze kama ilivyo azma yao ya kusaidiana na serikali katika kila…
18 February 2023, 13:18
Na Elias Maganga Wanufaika wa mfuko wa maendeleo ya Jamii Tasaf awamu ya tatu Kata ya Mbasa katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamekuwa na hali ya sintofahamu juu ya ruzuku ya msingi na utekelezaji wa mradi wa barabara huku …
11 February 2023, 16:14
Na Elias Maganga Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wameshauriwa kuunga mkono kampeni ya usafi wa mazingira inayojulikana Usafi wangu mita tano na mita tano usafi wangu,kwa kufanya hivyo watakuwa wanajikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali ya maambukizi.…
10 February 2023, 16:24
Na Kuruthum Mkata Operesheni ya kuondoa Mifugo ndani ya Bonde la Mto Kilombero, limeanza kutokana na maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Dominick Kyobya imeanza katika Kijiji cha Merera,Kata ya Chita ,Tarafa ya Mngeta, Halmashauri ya Wilaya…
10 February 2023, 15:07
Na Katalina Liombechi Wazazi wa watoto wanaosoma katika Shule ya msingi Ifakara katika Kata ya Viwanjasitini Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamekubaliana kuchangia lishe kwa watoto pindi wanapokuwa Shuleni ikiwa ni njia ya kukuza Ufaulu Shuleni hapo. Katika Makubaliano hayo…
8 February 2023, 14:37
Na Katalina Liombechi Ufugaji Nyuki Wilayani Kilmbero imetajwa kuwa shughuli Mojawapo rafiki kwa uhifadhi endelevu wa Rasilimali za Misitu na Mazingira kwa Ujumla. Afisa Nyuki Halmashauri ya Mlimba Wilayani Kilombero bwana John Mlulu ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa…
7 February 2023, 14:49
Na Kuruthum Mkata Uchakavu wa Jengo na miundo mbinu mibovu ya umeme katika Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilombero kilichopo Ifakara ,imepelekea Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya kuagiza kufanya marekebisho ikiwa ni pamoja na kupaka rangi…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.