Pambazuko FM Radio

Recent posts

21 April 2023, 20:48

Bibi wa miaka 62 anusurika kifo bada ya kuangukiwa na nyumba

Bi Hamida Kitage mwenye umri wa miaka 62 amesema ilikuwa majira ya saa tisa alasiri akiwa ndani ya nyumba hiyo ya tofali za kuchoma alisikia kitu kimedondoka kutoka juu na kumpiga kichwani na kudondoka Na Elias Maganga Mkazi wa mtaa…

12 April 2023, 19:39

TCCIA Kilombero inaenda kwa kusua sua

Wanachama wetu wanataka chama kiwasaidie na sio wakisaidie chama,wakipata fursa ya mikopo na wakamaliza mikopo hawaoni tena umuhimu wa chama,kwani wanachama wengi wakitatuliwa matatizo yao hawaonekani tena kwenye chama-Samson Ngwila Na Elias Maganga Wanachama wa Chama cha wafanyabiashara ,wenye viwanda…

5 April 2023, 15:53

Wanaushirika wakubaliana kuongeza hisa pamoja na michango-Kilombero

Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji  na Masoko Kilombero wakiwa kenye mkutano Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji  na Masoko Kilombero kimeundwa kwalengo la kuwaunganisha Wavuvi wote wanaojihusha na Uvuvi na hio itasaidia kudhibiti uvuvi haramu ili kuulinda Mto Kilombero…

29 March 2023, 19:07

Wananchi wagomea ujenzi wa kizimba cha taka-Ifakara

Wananchi wa Mtaa wa Viwanja Sitini A katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamegomea ujenzi wa kizimba cha taka kwenye eneo la makazi wakidai kuwa inaweza kuleta athari za kiafya Na Katalina Liombechi Wakazi wa Mtaa wa Viwanjasitini A katika…

21 March 2023, 19:20

Waadventista Wasabato Ifakara wachangia Damu

Kutokana na changamoto ya upatikanaji wa Damu katika maeneo ya kutolea huduma za Afya,Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato-Ifakara wamejitokeza kuchangia Damu ili kuiunga mkono Serikali. Na Katalina Liombechi Jumla ya Chupa 36 za Damu zimepatikana baada ya watu waliojitokeza…

15 March 2023, 11:36

Serikali ya Kijiji yadaiwa kupora ardhi.

Na Isdory Mtunda Miongoni wa changamoto zinazowakumba baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Igota na Magereza ,Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro ,ni kuporwa ardhi na Serikali ya Kijiji. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wa Vijiji hivyo katika mkutano uliowakutanisha wananchi…

1 March 2023, 19:12

Dc aagiza tathimini ya maafa kufanyika haraka

Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu amewaagiza wataalamu kufanya tathmini ya Nyumba zilizoezuliwa na upepo katika Kata ya Minepa ili Kupata takwimu sahihi za wahanga. Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo February 27,Mwaka huu alipofika…

23 February 2023, 15:09

Rais Dr Samia atoa milioni 65 ujenzi wa zahanati

Na Elias Maganga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan imetoa fedha Milioni 65 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Akizungumza na Pambazuko FM, ilipotembelea mradi huo hii leo…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.