2 April 2026, 13:53

Megawati 11 hazitumiki kituo cha kupoza Umeme Ifakara

Picha ya kituo cha kupoza Umeme Ifakara{Picha na Kuruthum Mkata} “Uwepo wa kituo hicho umeondoa kwa kiasi kikubwa tatizo la kukatika kwa umeme katika maeneo ya Mng’eta na Mchombe, hivyo   REA kwa juhudi zake za kusambaza umeme vijijini na…

On air
Play internet radio

Recent posts

8 September 2026, 13:15

DC Kilombero aagiza wanaoishi mabondeni kuhama

DC Kilombero awataka wananchi wanaoishi mabondeni kuhama mapema na kujiandaa kukabiliana na athari za mvua za El Niño. Na: Kuruthum Mkata Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, amewataka Watendaji wa Kata, Vijiji na Vitongoji kubainisha kaya zote zinazoishi…

8 September 2026, 12:51

Kilombero kinara uhalifu mtandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Mkoa wa Morogoro umeripoti matukio 2,129 ya uhalifu wa mtandao, huku Wilaya ya Kilombero ikiongoza kwa kuripoti matukio 1,780. Na Kuruthum Mkata Akizungumza katika mkutano wa wadau wa mawasiliano, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi…

7 September 2026, 21:16

Wadau wa misitu watakiwa kujisajili

Na: Henry Mwakifuna Wadau wanaojihusisha na shughuli za bidhaa za misitu Wilayani Kilombero, Mkoa wa Morogoro, wametakiwa kufuata utaratibu wa kujisajili na kuzingatia sheria na kanuni zinazosimamia shughuli hizo. Akizungumza na Redio Pambazuko FM, Mhifadhi kutoka Wakala wa huduma za…

2 September 2026, 14:02

Ikwambi waishukuru serikali kwa kupata umeme

“Tunaishukuru Serikali kutufikishia umeme katika kitongoji chetu itatusaidia kukuza biashara, viwanda vidogo na shughuli za ujasiriamali.”-Wananchi Ikwambi Na Kuruthum Mkata. Wananchi wa Kitongoji cha Ikwambi, Kijiji cha Sululu, Kata ya Signal wilayani Kilombero, wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia huduma ya umeme…

31 August 2026, 21:03

Vodacom yajenga madarasa Ihowanja

Shule ya Msingi Ihowanja wilayani Malinyi, mkoani Morogoro, imepata madarasa mawili mapya pamoja na madawati 30 kupitia Vodacom Tanzania Foundation, hatua inayolenga kupunguza uhaba wa madarasa uliokuwa ukiifikia 16 na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi. Na: Latipha…

24 August 2026, 22:48

TFS Kilombero yatoa madawati 50

TFS Kilombero imekabidhi madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni saba kwa Shule ya Msingi Signal, ikiwa ni sehemu ya kurejesha fadhila kwa wananchi wanaoshiriki katika uhifadhi wa Msitu wa Nangachi. Msaada huo unalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia huku viongozi…

19 August 2026, 13:19

DC Kyobya atoa onyo kwa wafugaji

Mkuu wa wilaya ya Kilombero, wakili Dunstan Kyobya, ametoa onyo kali kwa wafugaji wanaochochea migogoro ya ardhi inayotishia amani na kusababisha vifo, akiwemo mkasa wa hivi karibuni wa Afisa Ardhi Ifakara. Wakati huohuo, Kaimu Mkurugenzi wa mji huo, Dk. Yuda…

17 August 2026, 21:33

DC Kyobya awataka wafugaji kufuga kisasa

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, amewasihi wafugaji kuiga mfano wa Mfugaji Bora wa Mkoa wa Morogoro, John Kasekele, kwa kufuga kisasa na kwa tija ili kukuza uchumi na kuepusha migogoro na wakulima. Hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na…

17 August 2026, 16:21

Ifakara kuendelea kukamilisha maboma ya kata

Halmashauri ya Mji wa Ifakara imeeleza kuwa itakamilisha maboma ya kata na vijiji hatua kwa hatua kadri bajeti itakavyopatikana, kufuatia ombi la Diwani wa Kisawasawa, Justus Ndege. Katika kikao hicho cha Baraza la Madiwani, Mwenyekiti Kassim Nakapala aliwataka viongozi kusimamia…

17 August 2026, 15:18

Ifakara yaomba tathmini majengo yasiyo na umeme

”Majengo yote ya Serikali katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara yafanyiwe tathmini na Tanesco ili kupata huduma ya Umeme akitolea mfano shule ya Sekondari ya Ihanga ambayo imejengwa lakini haina Umeme”-Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Kassim Nakapala. Na…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.