Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
2 August 2026, 18:20
Picha ya mabinti waliokatisha masomo au kukata tamaa kutokana na changamoto za ujauzito kutoka Taasisi ya Enlight Development Organization (EDO) (Pcha na Henry Mwakifuna.) Mheshimiwa Sekiboko ameipongeza EDO kwa mchango wake katika kuwawezesha mabinti na wanawake waliopitia changamoto mbalimbali kurejea…
1 August 2026, 13:10
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka madereva wa matrekta na Power Tiller kuzingatia sheria za usalama barabarani, huku likieleza kuwa Power Tiller hairuhusiwi kubeba abiria kwa mujibu wa sheria. Na: Isidory Mtunda Madereva wa matrekta na Power Tiller katika…
31 July 2026, 15:17
Polisi wa Usalama Barabarani wamewapa elimu wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller katika Kata ya Chita, huku wakisisitiza marekebisho ya vyombo hivyo na ufuataji wa taratibu za usajili na leseni ili kupunguza ajali. Na: Isidory Mtunda Wamiliki na…
30 July 2026, 09:47
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limefanya mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba. Mafunzo hayo yamelenga kupunguza ajali, vifo, na majeraha, huku wataalamu wakifafanua taratibu za…
29 July 2026, 07:43
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kupitia kitengo cha usalama barabarani limeendeleza kampeni ya kutoa elimu kwa wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller wilayani Mlimba ili kumaliza kabisa tatizo la ajali za barabarani. Na: Isidory Mtunda Jeshi la…
25 July 2026, 13:58
Wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero wamepongeza jeshi la polisi kwa mafunzo ya usalama barabarani, huku wakipokea maelekezo ya kujiorodhesha ili kurahisisha utoaji wa mafunzo na leseni katika eneo lao. Na: Isidory Mtunda…
24 July 2026, 09:10
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limetoa elimu ya usalama barabarani kwa wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller wa Tarafa ya Mang’ula, likiwataka kuzingatia sheria ili kupunguza ajali. Na: Isidory Mtunda Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limesema…
23 July 2026, 18:16
Benki ya CRDB imekabidhi vitanda 33 vya wagonjwa na makabati 26 vyenye thamani ya shilingi milioni 25 kwa Hospitali ya Saratani ya Good Samaritan Ifakara, ili kuboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa. Na: Hospice Lipipa Benki ya CRDB imekabidhi vitanda…
23 July 2026, 13:24
Na Elias Maganga Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, amesimamia utatuzi wa migogoro miwili ya ardhi katika Kijiji cha Michenga, Halmashauri ya Mji wa Ifakara, iliyokuwa imedumu kwa miaka kadhaa na kufikishwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba…
23 July 2026, 08:22
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka wamiliki na madereva wa matrekta pamoja na power tiller kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuhakikisha vyombo vyao vina taa, viakisi mwanga na madereva wanakuwa na leseni halali ili kupunguza ajali. Na: Isidory…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.