Pambazuko FM Radio

Recent posts

2 April 2024, 3:43 pm

Dkt. Biteko aipongeza Tanesco kurejesha umeme

“Hakuna mgao  wala upungufu wa umeme kwa sasa hiki kilichotokea ni hitilafu kwenye mitambo ya kuzalisha umeme” Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko Na Elias Maganga Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko  amelipongeza shirika la…

1 April 2024, 2:30 pm

Wanusurika kifo baada ya nyumba yao kubomoka-Ifakara

“Hakuna kifo wala majeruhi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha baada ya nyumba kubomoka ambayo imeacha familia ya watu watatu kukosa makazi,ambapo kwa sasa wamehifadhiwa katika Jengo la Ccm kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara“-Afisa Mtendaji wa…

28 March 2024, 5:13 pm

Uharibifu wa mazingira unavyogharimu maisha ya watu

‘‘Mnapojadiliana mikakati mtakayokuja nayo ni lazima, lazima nasema lazima ijibu hali ya umasikini sio kumwambia mtu asikate mti bila kumwambia afanye nini’’ Amesema Katibu Tawala Alhaj Mussa Ally Mussa Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Matokeo ya Uharibifu wa Mazingira katika…

26 March 2024, 4:11 pm

Aliyesombwa na mafuriko mwili wake umepatikana

Na Elias Maganga Mwili wa Kijana Shafii Abas Kambeyu aliyesombwa na mafuriko wakati akiwa anawavusha watu wengine katika daraja la Katindiuka halmashauri ya Mji wa Ifakara umepatikana. Akizungumza na pambazukofm Mwenyekiti wa Mtaa wa Katindiuka A Mulla Mlamba amesema mwili…

26 March 2024, 1:58 pm

Jamii yahimizwa kupima kifua kikuu

Na Jackline Raphaely Jamii imekuwa na mwitikio mdogo katika  upimaji wa ugonjwa wa kifua kikuu, hali inayoonyesha kuwa bado kuna changamoto  kubwa ya kuwafikia watu wenye dalili za ugonjwa huo. Akizungumza katika maadhimisho ya  kifua kikuu Machi 24,2024 yaliyoandaliwa na…

25 March 2024, 5:31 pm

Mafuriko yaua mtu mmoja Ifakara

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…

20 February 2024, 11:51 am

TAWA: Pori la akiba Kilombero lazima lilindwe kwa nguvu zote

Pori la akiba la Kilombero ni chanzo kikubwa cha maji katika mradi mkubwa wa kufua umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere hivyo kuna kila sababu ya kulilinda ili mradi huo wa kimkakati uweze kukamilika Na Elias Maganga Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori…

5 December 2023, 12:49 pm

Kituo cha kupooza umeme Ifakara chawashwa, wilaya tatu kunufaika

Wilaya tatu za mkoa wa Morogoro zimenufaika na umeme wa vijijini- REA, baada ya kituo cha kupozea umeme kilichopo Ifakara kata ya Kibaoni kuwashwa na kuanza kazi. Na; Isidory Mtunda Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga mkoani Morogoro kunufaika na…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.