Pambazuko FM Radio

Recent posts

8 May 2026, 11:42

Madiwani Mlimba watakiwa kuhamasisha bima ya afya kwa wote

Bima ya afya kwa wote inapaswa kuwa ajenda kwenye mikutano ya maendeleo ya kata ili wananchi waweze kuelewa umuhimu wa kujiunga na mpango huo kujihakikishia huduma ya matibabu wanapougua Na Kuruthumu Mkata Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, wakili Dumstan Kyobya,…

1 May 2026, 20:09

Wafugaji 120 wapatiwa mafunzo ufugaji salama

Mafunzo hayo yanalenga kupunguza matumizi holela ya dawa za mifugo na kuboresha uzalishaji wa kuku katika Tarafa ya Kidatu. Na; Isidory Mtunda Zaidi ya wafugaji na wakulima 120 kutoka Tarafa ya Kidatu, Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani Morogoro, wamepatiwa…

30 April 2026, 18:53

Biashara hewa ukaa kukabiliana na tabianchi bonde la Kilombero

Mradi huo utasaidia kurejesha maeneo yaliyoharibika, kulinda mazingira na kuinua kipato cha wananchi, huku ukitarajiwa pia kutoa manufaa ya kijamii Na Kuruthumu Mkata Kampuni ya Lasting Forest Solutions imesaini hati ya makubaliano ya biashara ya hewa ukaa na Jumuiya ya Uhifadhi…

27 April 2026, 19:29

DC Kyobya ataka ufugaji kuku wenye tija

Akizindua mafunzo ya ufugaji wa kuku bora Mkuu wa Wilaya amewagiza wataalamu kuhakikisha wanawatembelea wafugaji mara kwa mara ili kuwapa ushauri wa kitaalamu pamoja na kuwawezesha kupata mikopo Na Kuruthumu Mkata Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, leo…

26 April 2026, 14:45

Kilombero yapanda miti 2000 kuadhimisha Muungano

Katika kumbukizi ya Muungano iliyoambatana na zoezi la upandaji miti Mkuu wa Wilaya amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi Na Katalina Liombechi Wilya ya Kilombero imeungana na Watanzania wengine kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa…

23 April 2026, 19:00

Vitongoji 68 kunufaika na umeme Morogoro kusini

“Utekelezaji wa miradi ya uunganishaji umeme na upanuzi wa vituo vya kupooza umeme inatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya wananchi kwa kuongeza fursa za kiuchumi na kuboresha huduma za kijamii“ Na Katalina Liombechi Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO Mkoa wa…

23 April 2026, 13:59

Zaidi ya kaya 200 kata ya Idete zapatiwa vyandarua

Vyandarua hivi mnavyopewa na serikali lengo lake ni kuboresha afya zenu ili kujikinga na Malaria-Bi.Esther Nyasebwa, Mtendaji wa Kata. Na Kuruthum Mkata Mtendaji Kata ya Idete, Halmashauri ya Mlimba Wilayani Kilombero mkoani Morogoro, ameongoza zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa…

21 April 2026, 18:58

Wananchi Ifakara wahimizwa kukata bima NHIF

Kupitia vifurushi NHIF, wanachama wanaweza kupata huduma za matibabu katika vituo mbalimbali vya afya vilivyosajiliwa, jambo linalorahisisha upatikanaji wa huduma hizo bila gharama kubwa ya papo kwa papo Na Katalina Liombechi Jamii imetakiwa kuchukua hatua madhubuti za kujihakikishia huduma bora…

16 April 2026, 15:25

TAWA yapanda miti 2,500 hifadhi Utengule

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA,  inaendelea na juhudi za kurejesha uoto wa asili katika Hifadhi ya Kilombero ‘ Eneo A’ kwa kupanda miche ya miti 2,500, huku ikiimarisha ulinzi wa eneo hilo na kushirikisha jamii katika uhifadhi…

2 April 2026, 14:38

EDO Ifakara Yahamasisha Kilimo cha Mbogamboga kwa Njia Mbadala

“Ni wakati sasa kwa wananchi kubadili mtazamo na kuanza kutumia mbinu za kisasa zaidi za kilimo,kwa kutumia njia badala ya kutegemea ardhi pekee, wananchi wanaweza kulima kwa kutumia mifuko na ndoo, maarufu kama “plastic gardening”-Mkurugenzi wa Taasisi ya EDO, Bi.…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.