Pambazuko FM Radio

Recent posts

25 June 2021, 6:14 am

Kambi Kusaidia Wanafunzi Wasichana Kutimiza Ndoto zao

Na; Katalina Liombechi Mkurugenzi msaidizi wa Elimu ya Msingi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Susana Nyarubamba amesema ili msichana aweze kuwa salama jamii na wazazi wanatakiwa kutengeneza utamaduni wa kuwa walinzi wa watoto wao kila wakati wawapo shuleni…

25 June 2021, 6:06 am

Wazazi Chanzo Cha Ukatili Kwa Watoto,Malinyi na Ifakara

Na: Katalina Liombechi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mathayo Masele ameyasema hayo wakati akizungumza na Radio Pambazuko kwa Njia ya Simu ilipotaka kujua ukubwa wa changamoto ya vitendo hivyo kwa watoto katika Wilaya hiyo. Masele amekiri kuwepo kwa changamoto hizo…

25 June 2021, 5:51 am

Wananchi Watakiwa Kuchangia Maendeleo ya Shule

Na:Katalina Liombechi Wananchi wa Kata ya Igawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi wameombwa wawe na Utaratibu wa kuchangia michango ya Shule  bila kujali kuwa ana au hana Mtoto anayesoma katika shule husika. Kauli hiyo imetolewa na Diwani wa Kata…

18 May 2021, 7:04 am

Mwanafunzi Mlimba ajeruhiwa kwa viboko na mwalimu

Na:Katalina Liombechi Mdau wa Kituo cha Sheria na haki za Binadamu Wilaya ya Kilombero Bashiri Kwahai amewataka walimu kutojichukulia sheria Mkononi kwa kuwaadhibu wanafunzi pasipo kufuata utaratibu kwani ni kinyume na haki za Binadamu. Hayo ameyasema alipofika katika Hospitali ya…

18 May 2021, 5:50 am

Wananchi Wachangia Ujenzi wa Madarasa

Wananchi wa Mtaa wa Jongo,Kata ya viwanja sitini  katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wamechanga  mchango  wa fedha kiasi cha shilingi milioni tatu  na Elfu tisini kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya maadarasa katika shule ya sekondari…

18 May 2021, 5:36 am

Uhalifu Wapungua 75%,Wananchi waondolewa Hofu

Baadhi  ya  wananchi  wa  Mtaa wa Mangwale  Kata  ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wameeleza  wasiwasi  wao  juu ya vitendo vya kiuhalifu vinavyotokea   kwenye mtaa huo. Wakizungumza na pambazukofm baadhi ya wakazi hao akiwemo Joyce …

18 May 2021, 5:21 am

Pembejeo,Hamasa mpya kilimo cha Pamba Malinyi

Wakulima 25 katika Kijiji cha  Kipenyo kata ya Mtimbira Wilayani Malinyi wamelima Jumla ya hekari 41 za zao la Pamba. Afisa Kilimo wa Kijiji hicho Bwana Miraji Ngaillah amesema wakulima wameanza kuhamasika kulima zao hilo ambapo hapo awali kulikuwa na…

16 December 2020, 8:30 am

Siku 16 za kupinga ukatili Ifakara

Kamati ya MTAKUWA kijiji cha Sagamaganga, kata ya Signali, kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kuibua ndoa na mimba za utotoni pamoja na matukio ya ubakaji. Hayo yameelezwa na mjumbe wa kamati ya MTAKUWA wa kijiji hicho bi, MACRINA MHALAFU,…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.