Pambazuko FM Radio

Uharibifu wa Ardhi Oevu kunahatarisha Maisha ya Viumbe hai-Kilombero

10 July 2024, 1:22 pm

Katalina Liombechi

Jamii imetakiwa kuacha kuharibu maeneo ya
Ardhi Oevu katika Bonde la Kilombero ili kusaidia uendelevu wa Mifumo Ikolojia.

Mtaalamu wa Maji kutoka Bodi ya Maji Rufiji
Kidakio cha Kilombero Gerald Hamisi
amesema uharibifu wa Maeneo ya Ardhi Oevu inapelekea Wanyama na viumbe vingine
kushindwa kujipatia Malisho na kuathiriwa kwa Makazi yao ya asili.

KIPINDI  KUHUSU UHIFADHI WA ARDHI OEVU BONDE LA KILOMBERO