18 February 2023, 1:18 pm

Wanufaika wa Tasaf walia kuondolewa kwa ruzuku-Ifakara

Na Elias Maganga Wanufaika wa mfuko wa maendeleo ya Jamii Tasaf awamu ya tatu Kata ya Mbasa katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamekuwa na hali ya sintofahamu juu ya ruzuku ya msingi na utekelezaji wa mradi wa barabara huku …

Offline
Play internet radio

Recent posts

19 April 2024, 9:20 pm

Semina ya kuwawezesha wakulima kielimu ili kuongeza tija katika mazao

Picha ni wakulima na wadau wa kilimo halmashauri ya mji wa Ifakara walioshiriki semina mjini Ifakara. Picha na; Isidory Mtunda Wakulima wa halmaashauri ya mji wa Ifakara, wamepatiwa semina, ili waongeze tija katika kilimo, na kuacha kilimo cha mazooea ,…

19 April 2024, 8:28 pm

Maisha ya Mwanadamu yanategemea Bionuai iliyohifadhiwa

Ufahamu kuhusu Bionuai Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Utunzaji wa Bionuai unasadia Uendelevu wa maisha ya Binadamu na Viumbe hai kwa Ujumla. Mhifadhi Kutoka Shirika linalojihusisha na Urejeshaji wa Misitu Afrika(Reforest Africa) Helman Lyatuu amesema hayo Wakati akizungumza na Pambazuko…

17 April 2024, 11:31 pm

Waathirika wa mafuriko Kilombero wapokea mssaada wa chakula tani 6

mifuko ya chakula – Picha na; Katalina Liombechi Kufuatia Adha ya Mafuriko katika Maeneo mbalimbali Wilaya ya  Kilombero mkoani Morogoro,Kampuni ya Sukari Kilombero  imekabidhi tani 6 za Vyakula zenye thamani zaidi ya Sh Mil 14 kusaidia Waathirika wa Mafuriko. Na:…

10 April 2024, 11:37 pm

Waathirika wa mafuriko Ifakara wapata msaada

Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…

3 April 2024, 5:06 pm

Jamii yatakiwa kupima magonjwa yasiyoambukiza

Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Baadhi ya  magonjwa hayo ni pamoja na Magonjwa ya Moyo, mishipa ya damu, Magonjwa sugu ya njia ya hewa, Shinikizo la Juu la Damu,…

3 April 2024, 1:37 pm

Vijana Ifakara wanatakiwa kupambana kwa kufanya kazi na wasikate tamaa.

Na Elias Maganga Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero amewataka vijana kupambana kwa kufanya kazi ili kuzikamilisha ndoto zao. Mh, Lijualikali ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Pambazukofm kupitia Kipindi cha jioni…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.