Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
14 May 2026, 20:53
Mradi wa FOLUR unaendelea kuleta matokeo chanya kwa kuunganisha uhifadhi wa mazingira na uzalishaji endelevu Na Katalina Liombechi Hifadhi ya Mazingira Asili Uzungwa Scarp imepanda zaidi ya miti elfu nane ya Mikangazi na Mikenge katika safu ya Chita, ikiwa ni…
14 May 2026, 19:15
Matukio ya ukatili wa kijinsia sio mara ya kwanza kutokea katika kitongoji cha milola Na katalina Liombechi Wananchi wa kitongoji cha Milola, Kijiji cha Kibaoni Halmashauri ya mji wa Ifakara wameeleza kutoridhishwa na matukio ya ukatili dhidi ya wanawake yanayoendelea…
14 May 2026, 12:50
Chama Kikuu cha Ushirika Ulanga Kilombero (UKICU) kimepokea mizani 70 za kidigitali kutoka kampuni ya ROTAI kwa lengo la kuboresha usahihi wa vipimo vya mazao na kuongeza uwazi kwa wakulima kupitia mfumo wa kidigitali unaotuma taarifa moja kwa moja kwenye…
14 May 2026, 11:28
Na: Isidory Mtunda Maafisa wa mazingira na mifugo katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani Morogoro wamewataka wananchi wanaojihusisha na ufugaji mijini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za ufugaji salama ili kuepusha athari kwa mazingira na jamii. Akizungumza na Pambazuko…
14 May 2026, 10:37
Afisa utamaduni wa halmashauri ya mji wa Ifakara amewataka viongozi wa kimila kuendelea kusimamia maadili ya jamii kwa kukemea vitendo vinavyokiuka mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo ushoga na ndoa za jinsia moja. Na: Isidory Mtunda Viongozi wa kimila wametajwa…
13 May 2026, 20:18
Wananchi wameiomba serikali kukarabati barabara hiyo haraka ili kuboresha mawasiliano na shughuli za kiuchumi. Na Katalina Liombechi Wananchi wa Kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wameiomba serikali kutatua haraka ubovu wa barabara ya kuvuka reli kuelekea Uwanja…
13 May 2026, 19:53
Bodi ya Maji ya Bonde la Rufiji Kidakio cha Kilombero,imekiri kuwepo kwa shughuli zinazotishia mazingira ya vyanzo vya maji Na Katalina Liombechi Baadhi ya Vijana na wanawake Kata ya Lumemo katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wameelezea wasiwasi wao kuhusu hatma ya…
9 May 2026, 07:56
Baraza la madiwani Mlimba limeweka utaratibu maalum wa madiwani na viongozi kushiriki katika uchangiaji damu pamoja na upimaji wa afya kila wanapokutana kwenye vikao rasmi ikiwa ni pamoja na maambukzi ya VVU/UKIMWI Na Kuruthumu Mkata Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba…
8 May 2026, 12:33
Wananchi wa Ifakara wameeleza kuwa licha ya kampeni za serikali na asasi mbalimbali kuhamasisha utunzaji mazingira kupitia upandaji miti, bado mwitikio wa baadhi ya jamii ni mdogo wakitaka kuongeza elimu na ushirikishwaji wa wananchi ili kuunga mkono jitihada za mazingira…
8 May 2026, 12:18
Msaada uliotolewa ni pamoja na vyandarua 59, ndoo 39, mikeka 42, blanketi 88 pamoja na mahindi zaidi ya tani sita Na Kuruthumu Mkata Zaidi ya kaya 59 kutoka Kata ya Mngeta Halmashauri ya Mlimba zimeathirika na mafuriko yaliyotokea katika eneo…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.