Pambazuko FM Radio

Recent posts

8 June 2026, 11:48

Viongozi Mbingu wapatiwa mafunzo ya uhifadhi

Viongozi katika kijiji cha Mbingu pamoja na kamati ya mazingira wamejengewa uwezo wa kulinda msitu asili wa Kilombero kupitia mafunzo ya uhifadhi na udhibiti wa moto. Na: Isidory Mtunda Viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Mbingu halmashauri ya wilaya ya…

6 June 2026, 09:20

Lasting Forest yatoa mafunzo hewa ukaa Kilombero

Biashara ya hewa ukaa itasaidia kupunguza hewa chafu inayoweza kuathiri afya za wananchi pamoja na kuchangia ongezeko la mapato kwa jamii Na Kuruthumu Mkata Kampuni ya Lasting Forest Solutions imetoa mafunzo ya elimu kuhusu hewa ukaa na ushoroba kwa wajumbe wa Kamati Tendaji…

5 June 2026, 21:30

DC Kilombero aonya waharibifu vyanzo vya maji

Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza umuhimu wa kulinda na kuhifadhi mto Lumemo ambao ni moja ya vyanzo muhimu vya maji vinavyochangia mtiririko wa Mto Kilombero Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili, amesema hatamvumilia mtu yeyote anayejihusisha na…

5 June 2026, 14:07

Jamii yaimarishwa kulinda msitu KNFR

TFS kupitia KNFR kwa kushirikiana na mradi wa FOLUR imetoa mafunzo ya usimamizi shirikishi wa misitu na udhibiti wa moto kwa kamati za maliasili na wajumbe wa serikali kutoka vijiji 11 vya Wilaya ya Mlimba, kwa lengo la kuimarisha uhifadhi…

4 June 2026, 20:15

Six Rivers Africa yaelimisha uhifadhi plastiki Ulanga, Kilombero

shirika hilo limeahidi kupeleka mapipa mawili katika kambi hizo mbili ili kusaidia ukusanyaji na uhifadhi wa taka za plastiki kabla ya kupelekwa viwandani kwa ajili ya kurejelewa na kutumika tena Na Katalina Liombechi Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku…

29 May 2026, 10:44

STEP yakuza ufugaji bora kuku wa kienyeji Ifakara

STEP kupitia ufadhili wa Polish aid wanalenga kuendeleza ufugaji bora wa kuku wa kienyeji kama njia muhimu ya kuongeza kipato cha familia na jamii Na Katalina Liombechi Shirika linalojihusisha na uhifadhi wa tembo kusini mwa Tanzania,Southern Tanzania Elephant Program (STEP)…

25 May 2026, 10:02

UKICU yachagua viongozi wapya

UKICU imepata wajumbe watano wapya wa bodi kutoka Ulanga, Malinyi na Mlimba katika uchaguzi uliofanyika Mei 23, 2026, huku Ifakara Mji ikikosa mwakilishi baada ya waombaji wake kutokidhi vigezo. Na: Isidory Mtunda Chama Kikuu cha Ushirika cha Ulanga na Kilombero…

22 May 2026, 20:24

Vijana 1,345 Kilombero wanufaika mradi wa SET

vijana wanaowezeshwa na shirika la Swisscontact ni wenye umri kati ya miaka 15-24 na kwamba asilimia 80 ya walionufaika kwa awamu hii ni wasichana Na Katalina Liombechi Shirika la Swisscontact limefanikiwa kuwawezesha vijana 1,345 wa kike na kiume katika Wilaya ya…

17 May 2026, 11:24

TFS yapanda miche ya miti KNFR

TFS kupitia Hifadhi ya Msitu wa KNFR imepanda miche ya miti takribani 10,000 katika vijiji vinavyozunguka hifadhi hiyo kupitia mradi wa FOLUR, huku wananchi wakieleza manufaa ya msitu katika uhifadhi wa mazingira na uzalishaji wa kilimo. Na: Isidory Mtunda Wakala…

16 May 2026, 09:59

AWF yatambuliwa kuinua kilimo cha kakao Mlimba

AWF inajivunia mafanikio yaliyopatikana katika kuhamasisha wananchi kujikita kwenye kilimo cha kakao ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa SUSTAIN-ECO Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika (AWF) umetunukiwa cheti cha kutambuliwa kama mmoja wa wadau…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.