Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
23 June 2026, 19:35
Licha ya kuamini umoja kuwa sauti yao kukabiliana na changamoto hizo wameziomba mamlaka husika kuendelea kutoa elimu ya sheria za mirathi na haki za wajane ili kupunguza vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kujitokeza kwa baadhi ya watu Na Katalina Liombechi Wakati…
23 June 2026, 19:13
Mazingira rafiki na wezeshi yanaongeza fursa za ajira na kuchochea maendeleo ya uchumi wa eneo la Ifakara na Wilaya ya Kilombero kwa ujumla. Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, amesema Serikali chini ya uongozi wa…
23 June 2026, 07:09
Vijana 50 wa Kata ya Mbasa, Halmashauri ya Mji Ifakara, wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali, afya ya uzazi na stadi za maisha na Shirika la WISE, yakilenga kuwawezesha kujiajiri na kuboresha maisha yao kiuchumi. Na: Isidory Mtunda Vijana wapatao 50 kutoka…
22 June 2026, 20:23
Lengo ni kuhakikisha huduma za kifedha zinawafikia wananchi kwa urahisi zaidi kupitia mawakala wetu waliopo karibu na maeneo Na Katalina Liombechi Benki ya CRDB imezindua kampeni ya miezi sita ya “Bonge la Wakala” kupitia huduma ya Simbanking kimpango wako inayolenga…
18 June 2026, 20:36
Shirika la Six Rivers Africa limetoa mafunzo hayo likiamini kuwa elimu ya ikolojia inayowafikia wanafunzi kupitia walimu wao itachangia kujenga kizazi chenye uelewa wa kina kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira Na Katalina Liombechi Shirika la Six Rivers Africa limetoa mafunzo…
18 June 2026, 19:56
Fedha hizo ni kusaidia ujenzi wa jengo la mama na mtotokatika zahanati ya Kijiji Kanyenja ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa ULS wenye lengo la kujenga uhusiano mzuri kati ya wananchi wanaopakana na hifadhi zilizopo katika Ushoroba wa…
16 June 2026, 14:48
Baadhi ya wanafunzi katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamesema walimu, wazazi na walezi huathiri uchaguzi wao wa tahasusi na masomo, na hivyo wito kutolewa kwa wadau wa elimu kuunda mazingira yatakayowasaidia wanafunzi kufikia ndoto zao za kitaaluma. Na: Henry…
13 June 2026, 13:52
“Elimu ya ufundi stadi ni ujuzi muhimu unaotolewa chuoni, na ujuzi huo unamwezesha kijana kujitegemea na kuepuka utegemezi.” Mwalimu Peter Magoda, mtaalamu wa matumizi ya kompyuta. Na Henry Mwakifuna Maisha ya sasa bila elimu si kitu. Hayo yamesemwa na Mwalimu…
10 June 2026, 14:04
Shirika la Plan International limehitimisha shughuli zake za ufadhili wa watoto katika Wilaya ya Kilombero baada ya zaidi ya miaka 30, likiacha mafanikio makubwa katika elimu, afya, ustawi wa watoto na uwezeshaji wa jamii. Na: Isidory Mtunda Baada ya zaidi…
8 June 2026, 13:06
Uwepo wa madaktari hao ni fursa muhimu kwa wananchi kupata huduma za kibingwa karibu na maeneo yao, huku pia ikichangia kubadilishana uzoefu na ujuzi wa kitabibu Na Katalina Liombechi Wananchi wa Ifakara na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro wamehimizwa…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.