Pambazuko FM Radio

Recent posts

27 December 2024, 14:44

Mavuno na hifadhi ya kokoa-Kipindi

Na Katalina Liombechi Wakulima wa Kokoa wameshauriwa kuzingatia uvunaji na uhifadhi mzuri wa Kokoa ili mazao yaweze kukubalika sokoni. Kwa mujibu wa Afisa Kilimo Mratibu wa zao la Kokoa Halmashauri ya Mlimba Dismas Charles Amri amesema katika kuvuna kokoa kuna…

27 December 2024, 14:29

Mbolea, madawa katika zao la kokoa-Kipindi

Na Katalina Liombechi Mkuu wa Idara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Yuda mgeni amewataka wakulima wa kokoa kutumia Mbolea za asili husaidia kuongeza idadi ya viumbe hai kwenye udongo, kama vile bakteria na…

8 December 2024, 17:45

Kilombero festival kuvutia uwekezajiKilombero

Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ametumia tamasha la Kilombero(Kilombero Festival)kuwaita wawekezaji kuwekeza kimkakati katika Wilaya hiyo yenye utajiri na urithi wa pekee kutokana na uwepo wa fursa nyingi za aina yake. Akizundua Tamasha hilo…

5 December 2024, 11:45

Vinara uhifadhi mazingira, utalii wakumbukwa na AWF Kilombero

Na Katalina Liombechi Katika jitihada za kuendelea kuokoa na kulilinda Bonde la Kilombero Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika AWF Wakabidhi Mfano wa hundi zaidi ya Tsh.Mil 90 Kwa Vinara wa Uhifadhi kurejesha Mazingira ya asili kutangaza Utalii. Fedha hizo…

20 November 2024, 19:15

Wanasiasa waelezea sintofahamu majina ya wagombea kuenguliwa Ifakara

Na Katalina Liombechi Wakati zoezi la Kampeni likizinduliwa leo Novemba 20,2024,Katika Halmashauri ya mji wa Ifakara imeelezwa bado kumekuwa na hali ya Sintofahamu kufuatia kile kilichoelezwa kuenguliwa kwa baadhi ya majina ya Wagombea. Wakizungumza mara baada ya Kikao cha kupitia…

20 November 2024, 17:10

Mlimba kuongeza uzalishaji zao la Kakao-Kilombero

Na Katalina Liombechi Tumeona zao hili lina mchango mkubwa wa kiuchumi kwa pato la Halmashauri pia limeleta mabadiliko chanya kwa wakulima hivyo kusaidia Usalama wa chakula kwa ngazi ya kaya na Taifa kwa ujumla. Kufuatia tija ya Kiuchumi kupitia zao…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.