Mpanda FM

Recent posts

16 July 2024, 9:09 am

Wananchi Katavi wamshukuru Rais Samia kwa kuboresha Miundombinu ya afya

Wananchi ambao wamejitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo “awali walikua hawapati huduma ambazo zinapatikana  katika hospitali hiyo kwa sasa.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi mkoani Katavi wamemshukuru…

13 July 2024, 8:45 pm

Rais Samia awataka viongozi jumuiya ya wazazi CCM kusimamia maadili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya wazazi yaliyofanyika mkoani Katavi. Picha na Samwel Mbugi “Katika usimamizi wa maadili ya Mtanzania, jamii ya watanzania pia itakuwa karibu nao, pamoja na…

12 July 2024, 8:42 am

Kinana aipongeza jumuiya ya wazazi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana “wazazi ndio msingi wa Malezi na Maadili katika jamiii, hivyo chama cha mapindunzi CCM kinapaswa kusimamia ipaswavyo maadili ya vijana katika makuzi yao.“ Na Samwel mbugi -Katavi Katika mwendelezo wa…

11 July 2024, 5:10 pm

Tume huru ya uchaguzi yasisitiza ushirikiano Katavi

Jaji wa Mahakama Kuu  Asina Omari ambaye  ni mjumbe wa tume  .picha na Rachel Ezekia “Tayari halmashauri  na majimbo yameshapokea vifaa  kwa ajili ya zoezi la uboreshaji  wa daftari la mpiga kura”. Na Rahel Ezekia -Katavi Tume huru ya uchaguzi …

9 July 2024, 10:52 am

Sangoma aua wanafamilia Katavi kwa kudai wataacha pombe

Wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mazishi .picha na George Rujuba watu wanatakiwa kuachana na imani za kishirikina kwani matukio kama hayo yanajitokeza kutokana na watu kutomjua Mungu Na john Mwasomola -Katavi Watu wawili wa familia moja wamefariki dunia mara baada ya…

8 July 2024, 12:37 pm

Watuhumiwa 12 wa mauaji washikiliwa na jeshi la polisi Katavi

Watuhumiwa wengine wamekamatwa kwa makosa mbalimbali ya silaha haramu aina ya gobore madawa ya kulevya,pamoja na  pombe ya moshi. Na Rachel Ezekia -Katavi Jeshi la polisi mkoa wa katavi linawashikilia watuhumiwa 12 wakijihusisha katika matukio ya mauaji ambayo yametokea kwa…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.