Recent posts
4 March 2023, 5:54 pm
Kupanda kwa Bei ya Mafuta Kilio kwa Abiria Katavi
KATAVI Abiria wa vyombo vya moto mkoani Katavi wameiomba serikali ipunguze bei ya mafuta kwani hali hiyo ina athiri shughuli zao za kila siku. Wakizungumza na mpanda Radio fm abiria hao wamesema kuwa kwa sehemu walizokua wakienda kwa Shilingi mia…
4 March 2023, 5:49 pm
Mbunge wa Mpanda Mjini Ataka Elimu kwa Wachimbaji Wadogo wa Madini
MPANDA Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastian Kapufi ameitaka sekta ya madini mkoani Katavi kutoa ELimu ya kutambua maeneo ya njia ya mtandao, nukta majira kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kuondoa migogoro ya maeneo iliyoanza kujitokeza kwa wachimbaji…
4 March 2023, 5:27 pm
Bado wazazi wana wajibu wa kuibua vipaji vya watoto wao.
KATAVI Baadhi ya wazazi mkoani katavi wamesema wanao wajibu wa kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji walivyo navyo watoto na kuviendeleza ili viweze kuwa msaada kwa maisha ya baadae ya mtoto. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema…
4 March 2023, 5:09 pm
Tayobeco Yaendelea Kuhamasisha Chanjo ya Uviko 19.
MPANDA. Shirika lisilo la kiserikali la Tayobeco Linalojihusisha na kuboresha afya ya vijana katika Nyanja mbalimbali Limezindua Mradi wa boresha habari katika manispaa ya mpanda Mkoani katavi lengo ni kuhamasisha vijana na wanawake kujitokeza katika kupata chanjo ya uviko 19.…
4 March 2023, 1:54 pm
Mgogoro wa Wachimbaji Dirifu, Mkuu wa Wilaya Ataka Subira.
MPANDAMkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewataka Wananchi na wachimbaji wa madini wa kijiji cha Dirifu kuwa na subira na kuishi kwa amani kufuatia mgogoro unaoendelea katika kijiji hicho. Akitoa maelekezo hayo kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya…
22 February 2023, 6:55 pm
Wananchi Tanganyika Waaswa Kuchangia Miundombinu ya Elimu
TANGANYIKA. Wananchi wa halmashauri ya Tanganyika wametakiwa kuiunga mkono serikali katika kuboresha miundombinu ya elimu ili kumsaidia mtoto wa kike kupata elimu bora. Wakizungumza na Mpanda redio fm baadhi ya wananchi wametaja kuwa ubovu wa miundombinu shuleni ni moja ya…
22 February 2023, 6:42 pm
Ajira kwa Watoto Bado Changamoto Katavi
KATAVI Wananchi Halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelaani wazazi wanaoruhusu watoto wadogo kufanya biashara muda ambao walitakiwa wawe shule. Wakizungumza na kituo hiki wananchi hao wamesema kuwa vitendo hivyo vinaathiri saikolojia za watoto na kuwapotezea malengo yao ya…
22 February 2023, 6:37 pm
Elimu ya Ukimwi kwa Mama na Mtoto
MPANDA Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao jinsi mama aliye na maambukizi ya virusi vya ukimwi anavyoweza kumlinda mwanae asipate maambukizi hayo. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wamesema kuwa mama anatakiwa kwenda…
22 February 2023, 6:33 pm
Wananchi Waaswa Kuchukua Tahadhari ya Surua
KATAVI Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa surua ulioibuka katika halmashauri ya mpimbwe mkoani katavi. Hayo yamesemwa na Dr solomon solomoni wakati akizungumza na Mpanda redio fm na kuainisha kuwa mlipuko wa surua unaathiri zaidi watoto chini ya…
22 February 2023, 6:28 pm
Sheria ya Mita 60 Bado Changamoto
MPANDA Utekelezaji wa sheria ya kutofanya shughuli za kibinaadamu ndani ya mita 60 kutoka mtoni umekuwa bado una changamoto kwa wakazi wanaoishi karibu na maeneo ya mito licha ya msisitizo kuhusu sheria hiyo. Baadhi ya wakazi wanaoishi kuzunguka mto Mpanda…