Mpanda FM

Mbukwa: Msijichukulie sheria mkononi kwa kutatua tatizo

2 October 2025, 5:27 pm

Judith Mbukwa mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi. Picha na Roda Elias

“Ripotini vitendo vya ukatili ili jamii iwe salama”

Na Roda Elias

Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana na dhana ya kuogopa vituo vya polisi hususani dawati la jinsia na badala yake waripoti vitendo vya ukatili ili jamii iwe salama.