Recent posts
31 October 2024, 09:37 am
Korosho ghafi tani 180,342 zauzwa ndani ya wiki tatu nchini
Hii ni katika kutolea ufafanuzi wa hali na mwenendo wa zao korosho katika msimu huu wa mwaka 2024/2024 ambao umeonesha uzalishaji kuwa mkubwa na bei rafiki kwa wakulima. Na Grace Hamisi Korosho ghafi tani 180,342 zimeuzwa kwa thamani ya bilioni…
24 October 2024, 17:30 pm
Changamoto za usafirishaji ,wakulima kuuza korosho kg1,kwa Tsh 2700 Mtwara
Soko la awali serikali imeridhia kwasababu ya kuongeza ubanguaji wa ndani wa zao hilo hivyo chama kikuu hakiwezi kukataza mkulima kuuza mazao yao kupitia soko hilo ispokuwa wakulima wanatakiwa kuridhia wenyewe. Na Musa Mtepa Wakulima wa mtaa wa Namayanga ,kata…
21 October 2024, 18:41 pm
Mtwara na matarajio lukuki kisima cha maji kinachodhaniwa kuwa na gesi
Kuwepo kwa dhana ya gesi katika eneo la kuchotea maji katika kijiji cha Mnyundo wananchi wamekuwa na matarajio ya makubwa ya kuona wanabadilika kimaendeleo ikiwepo kujengewa miradi ya maendeleo kama vile maji na uimarishaji wa huduma za afya. Na Musa…
16 October 2024, 16:17 pm
Waziri Stergomena Tax Atekeleza Ahadi ya Kompyuta Mtwara
Hivi karibuni Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa Stergomena Tax alifanya ziara mkoani Mtwara ya kutembelea,kukagua na kuweka mawe ya Msingi katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na baadhi yake kuahidi kutoa mchango wake. Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa…
16 October 2024, 14:40 pm
Kaimu Shekhe Mkuu wa Mtwara Ahamasisha kujiandikisha katika orodha ya wapiga kur…
Uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika November 27,2024 uendane na sambamba na kutunza tunu ya amani iliyopo nchini “kwani Tanzania inajukana kama kisiwa cha amani hivyo,jamii haiana budi kutunza tunu hiyo”Shekhe Jamaldin. Na Grace Hamisi Kaimu Shekhe mkuu wa…
15 October 2024, 22:30 pm
Wazazi Wasisitizwa Kupeleka Watoto Shule mkoani Mtwara
Siku ya Mwanamke anayeishi vijijini huadhimishwa October 15, ya kila Mwaka kwa lengo la kutambua mchango wa mwanamke anayeishi vijijini katika jitihada za kujiletea maendeleo yao na kuondokana na umasikini kiwa ni Pamoja na ushiriki wa kuinua Uchumi wa taifa,mtu…
14 October 2024, 13:51 pm
RC Sawala aongoza matembezi kuhamasisha uandikishaji serikali za mitaa
Matembezi haya yenye lengo la kuhamasisha ushiriki kila mmoja mwenye sifa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa November 27,2024 kote nchini ambapo kwa hatua ya awali uandikishaji wa orodha ya wapiga kura tayari umeshaanza October 11, 2024. Na…
14 October 2024, 11:13 am
Wakazi wa Mjimwema wakabiliwa na ukosefu wa maji
Licha ya kuwa Mjimwema ndipo yalipo matenki ya maji yanayotoka katika chanzo cha maji cha Lwelu wananchi wanashangazwa na kuadimika kwa huduma hiyo. Na Musa Mtepa Wakazi wa Mjimwema katika kata ya Magengeni, Manispaa ya Mtwara Mikindani wanakabiliwa na changamoto…
12 October 2024, 11:00 am
Mtwara DC, NMB wahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura
Lengo la jogging na michezo mingine ni katika kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura lilionza rasmi jana October 11, 2024 kote nchini. Na Musa Mtepa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtwara DC, Abeid Abeid…
11 October 2024, 15:50 pm
TANECU yauza korosho tani 3,857 kwa Tsh 4,120
Mnada wa leo wameshindana makampuni 37 na korosho zote zilizouzwa zimenunuliwa na makampuni 10 hivyo makampuni 27 yamekosa korosho maana yake ni kwamba kunauhitaji wa korosho duniani na beii hii ni kutokana dunia ina uhitaji mkubwa wa korosho karanga na…