Recent posts
15 October 2024, 22:30 pm
Wazazi Wasisitizwa Kupeleka Watoto Shule mkoani Mtwara
Siku ya Mwanamke anayeishi vijijini huadhimishwa October 15, ya kila Mwaka kwa lengo la kutambua mchango wa mwanamke anayeishi vijijini katika jitihada za kujiletea maendeleo yao na kuondokana na umasikini kiwa ni Pamoja na ushiriki wa kuinua Uchumi wa taifa,mtu…
14 October 2024, 13:51 pm
RC Sawala aongoza matembezi kuhamasisha uandikishaji serikali za mitaa
Matembezi haya yenye lengo la kuhamasisha ushiriki kila mmoja mwenye sifa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa November 27,2024 kote nchini ambapo kwa hatua ya awali uandikishaji wa orodha ya wapiga kura tayari umeshaanza October 11, 2024. Na…
14 October 2024, 11:13 am
Wakazi wa Mjimwema wakabiliwa na ukosefu wa maji
Licha ya kuwa Mjimwema ndipo yalipo matenki ya maji yanayotoka katika chanzo cha maji cha Lwelu wananchi wanashangazwa na kuadimika kwa huduma hiyo. Na Musa Mtepa Wakazi wa Mjimwema katika kata ya Magengeni, Manispaa ya Mtwara Mikindani wanakabiliwa na changamoto…
12 October 2024, 11:00 am
Mtwara DC, NMB wahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura
Lengo la jogging na michezo mingine ni katika kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura lilionza rasmi jana October 11, 2024 kote nchini. Na Musa Mtepa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtwara DC, Abeid Abeid…
11 October 2024, 15:50 pm
TANECU yauza korosho tani 3,857 kwa Tsh 4,120
Mnada wa leo wameshindana makampuni 37 na korosho zote zilizouzwa zimenunuliwa na makampuni 10 hivyo makampuni 27 yamekosa korosho maana yake ni kwamba kunauhitaji wa korosho duniani na beii hii ni kutokana dunia ina uhitaji mkubwa wa korosho karanga na…
10 October 2024, 23:10 pm
Wazee kuhamasisha amani uchaguzi serikali za mitaa mkoani Mtwara
Dhamira ni kuwataka wazee kukaa na vijana na kuzungumzia suala la amani na usalama wa mkoa katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ,uchaguzi ambao umekuwa ukishuhudia heka heka za hapa na pale za vyama vya siasa. Na Musa Mtepa…
10 October 2024, 15:55 pm
RC Mtwara: Wananchi jitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga ku…
Maeneo ya utawala kwa nchi nzima yalitangazwa na Waziri husika kutoka ofisi yar ais TAMISEMI September 16,2024 na baada ya kutangaza maeneo hayo wasimamizi wa uchaguzi kwa ngazi za halmashauri zote nchini zikiwemo na halmashauri (9) za mkoa wa Mtwara…
8 October 2024, 14:34 pm
Magengeni Mtwara watakiwa kujitokeza uchaguzi serikali za mitaa
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 viongozi wa mitaa,vijiji na wajumbe wanatakiwa kujiuzuru ifikapo October 25,2024 . Na Musa Mtepa Mwenyekiti wa Mtaa wa Magengeni, Manispaa ya Mtwara Mikindani, Amina Ahmadi…
8 October 2024, 13:05 pm
Waziri Dkt. Stergomena Tax Azindua Shule ya Msingi Chawi Mkoani Mtwara
Mradi huo unaojumuisha Vyumba 9 vya Madarasa, Jengo la Utawala pamoja Matundu 6 ya Vyoo, umetekelezwa kwa fedha zilizotoka Serikali kuu. Na Musa Mtepa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, amefanya ukaguzi na kufungua mradi…
8 October 2024, 11:57 am
Maafisa uandikishaji Mtwara DC waaswa kufuata taratibu za uchaguzi
Ni zaidi ya maafisa 400 wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura wameapa na kupata seimina ya jinsi ya kuanya uandikishaji katika uchaguzi wa serikali za mitaa katika halmashauri ya Mtwara vijijini Na Musa Mtepa Mratibu wa Usimamizi wa Uchaguzi…