Recent posts
25 May 2024, 22:36 pm
NEMC, wanahabari kushirikiana kuelimsha jamii Mtwara
Mabadiliko ya tabia yanasababishwa na vyanzo vya asili na shughuli za binadamu ambazo changamoto kubwa zinazoleta na mabadiliko hayo ni Pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani ,misimu ya mvua isiyotabirika na kuongeze kwa kina cha bahari. Na Musa…
25 May 2024, 15:22 pm
RC Mtwara, wananchi wafanya usafi
Wananchi wengi wameonesha kufurahishwa kwa kitendo cha viongozi wa serikali ya mkoa na wilaya ya Mtwara kuungana nao katika zoezi zima la usafi na wengi wao wakisema kuwa watakuwa na mwendelezo wa zoezi hilo majumbani mwao Na Musa Mtepa Mkuu…
25 May 2024, 11:13 am
Makala: Urejeshwaji wa CSR katika miradi ya Gesi asilia na mafuta, je unazingati…
Na Musa Mtepa Tanzania imepitisha sheria inayowataka makampuni kutoa sehemu ya mapato yao kusaidia jamii wanakofanya biashara au uzalishaji. Makampuni haya yanatakiwa kuchangia wastani wa 0.7% ya mapato yao kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya jamii husika. Michango hii inajulikana…
24 May 2024, 23:15 pm
Baraza la madiwani Mtwara labatilisha umiliki wa kiwanja cha Mbunge
Waheshimiwa Madiwani wameunga mkono kubatirishwa kwa kiwanja kinachosadikiwa kumilikiwa na Mbunge wa Mtwara Mjini huku mstahiki Meya akiwaagiza watendaji kuyatambua na kuyawekea alama maeneo yote yaliyopo chini ya halmashauri ili kurahisiasha utambuzi inapotokea mtu kuvamia maeneo hayo Na Musa Mtepa…
24 May 2024, 17:37 pm
DC Munkunda alipongeza baraza la madiwani Mtwara Manispaa
niwapongeza mkurugenzi na timu yako mmefanya kazi kubwa kwenye kusimamia miradi ya maendeleo kwani kila mmoja katika kata zenu mmeweza kusimamia vizuri miradi ya maendeleo inayotekelezwa Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amelipongeza na kuridhishwa na…
16 May 2024, 17:46 pm
TARI Naliendele yatoa elimu ya uvunaji wa ufuta
Wakulima wanashukuru kupitia mbegu zinazozalishwa na kufanyiwa utafiti katika kituo cha Naliendele kwani wamekuwa wakipata tija kwenye uzalishaji hivyo wengine wanakaribishwa kufika na kujifunza namna bora ya uzalishaji wa zao la ufuta. Na Musa Mtepa Wakulima na wadau wa ufuta…
15 May 2024, 21:33 pm
Watuhumiwa 14 wakamatwa kuhusika na mali za wizi Mtwara
Napenda kuwajulisha wananchi kuwa mkoa wa Mtwara upo shwari dhidi ya uhalifu na Elimu ya kuzuia na kutanzua imeendelea kutolewa kwa wananchi kupitia wakaguzi wa kata katika maeneo mbalimbali ya mkoa. Na Musa Mtepa Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara…
15 May 2024, 20:00 pm
RC Sawala awataka wananchi kutoa ushirikiano dhidi ya vitendo vya ukatili
Taasisi zinazohusika na utoaji wa haki na kusimamia masuala haya kuyatendea haki ili kuendelea kumlinda mtoto na mwanamke na mtanzania kwa ujumla ili awe salama zaidi. Na Musa Mtepa Wananchi wameombwa kushirikiana na serikali katika kuelimisha jamii kuachana na vitendo…
14 May 2024, 08:24 am
Wadau waombwa kusaidia ujenzi wa ghala la kijiji Mtwara
Tumeamua kujenga ghala hili kwasababu Kijiji chetu hatuna ghara na mazao yetu sasa hivi tumekua tukiazima jengo la maarifa ya kilimo la kata ambalo tumekuwa tukilitumia kupimia kwa kila pale inapofikia msimu wa korosho na ufuta tukaona bora tujichange ili…
14 May 2024, 08:06 am
Wavuvi waliopotea baharini Mtwara bado hawajaonekana
Boti hiyo ambayo ilikwenda baharini jioni ya tarehe 9/5/2024 kwa matarajio ya kurudi asubuhi ya tarehe 10/5/2024 lakini hawakufanikiwa kurudi baada ya kupata hitilafu na walinipigia simu kuanzia saa kumi na moja hadi saa sita mchana wakaniambia mwenyekiti simu zetu…