Recent posts
20 September 2024, 10:54 am
RC Katavi awataka viongozi wa mitaa, kata kutoa elimu ya uchaguzi
” Wamepokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa na tayari wameshaanza kutoa elimu kwa maeneo mbalimbali“ Na Leah Kamala-Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka watendaji wa serikali katika mitaa, vitongoji na vijiji kutoa elimu kwa wananchi juu ya…
18 September 2024, 12:03 pm
Katavi walaumu wanaoficha vitendo vya ukatili wa kijinsia
“Vitendo vya ukatili wa kijinsia havifai na vinapaswa kukemewa kwani vinazidi kukithiri na kuleta athari kubwa haswa kwa watoto na wanawake.“ Na Lazaro Maduhu-Katavi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali iweke juhudi ya ufutiliaji wa masuala…
18 September 2024, 11:05 am
Katavi: Wananchi waja juu takataka kutozolewa kwa wakati
Baadhi ya takataka zilizopo kwenye nyumba mbalimbali katika mtaa huo na hazijazolewa.picha na Samwel Mbugi “wameilalamikia serikali kwa kuto kuzoa taka kwa wakati jambo linaloweza kusababisha mlipuko wa magonjwa kama vile kipindupindu.” Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi wa mtaa wa…
13 September 2024, 12:56 pm
Katavi:Afisa muuguzi aondoa utata kati ya ugonjwa wa degedege na kifafa
Rajabu Mollel Manaya afisa muuguzi Daraja la pili idara ya upasuaji na magonjwa ya ndani ya kina mama hospitali ya rufaa mkoani Katavi .picha na Rechel Ezekia “Mitazamo yao kuhusiana na degedege kwa Watoto katika jamii huku wakihusianisha na imani…
13 September 2024, 11:59 am
Katavi:Kiongozi wa mbio za mwenge”miradi iendane na thamani ya pesa”
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa katika picha akiwa na viongozi wengine wilaya ya mpanda akiwemo mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph.picha na Betord Chove “Wajibu wa watekelezaji wa mradi huo pamoja na serikali kuhakikisha jengo hilo linakuwa na…
9 September 2024, 7:30 pm
Katavi: Mwenyekiti CHADEMA awataka wanachama wa chama hicho kutokubali kuchukul…
Mwenyekiti chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake .picha na John mwasomola “kutokana na matukio yanayojitokeza ya watu kutekwa na kuuawa wanatakiwa kujilinda na kutokubali kuchukuliwa“ Na John Mwasomola -Katavi Mwenyekiti wa chama cha…
6 September 2024, 2:07 pm
Mwanafunzi apoteza maisha katika bwawa la Milala
Wanafunzi na wananchi ambao wamejitokeza katika mazishi ya mwanafunzi huyo “waliondoka na walimu wao kurudi kambini walipofikia kwaajili ya kupata chakula ndipo walipogundua mwanafunzi mmoja hayupo” Na Betold Chove -Katavi Mwanafunzi aliefahamika kwa majina ya James Japhet (12) amefariki dunia…
6 September 2024, 1:11 pm
Katavi: 97 mbaroni kwa tuhuma za uhalifu
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Katavi ACP David Mutasya akionyesha vitu mbalimbali walivyokutwa navyo watuhumiwa .picha na Roda Elias “Jeshi la polisi limetoa muda kwa wanaomiliki silaha kinyume na sheria kuzisalimisha sulaha hizo katika vituo vya polisi au ofisi…
4 September 2024, 9:32 am
Wananchi Katavi wasisitizwa kuwa wazalendo
katika picha waliokaa upande wa kushoto ni mwenyekiti wa taasisi zisizo za kiserikali katavi ,anayefuatia ni katibu tawala mkoa wa katavi na kulia ni afisa maendeleo mkoa wa katavi.picha na Rachel Ezekia. “lengo kuu la kukuza uzalendo ni kulinda rasilimali…
3 September 2024, 11:31 am
Wazee mkoani Katavi walia na vilipuzi
“Milipuko inayolipuliwa katika uwanja huo imeleta wasiwasi katika jamii na kupelekea baadhi ya wananchi kupata mshtuko wa moyo.” Na Samwel Mbugi -Katavi Baadhi ya wazee kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi wamemwomba Kamanda wa Jeshi la Polisi…