Recent posts
8 February 2023, 12:30 pm
Nyumba 50 Zaharibiwa na Mvua Mwamkulu
MPANDA Nyumba 50 Zimeharibiwa huku kaya 47 zikikosa makazi katika kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Kufuatia Mvua iliyonyesha January 31 ,2023 Wakizungumza na Mpanda redio FM Wahanga wa tukio hilo wamesema kuwa mvua hiyo imeleta uharibifu mkubwa…
8 February 2023, 12:26 pm
Zaidi ya Heka 200 za Mazao Zaharibiwa na Mvua Nsimbo
NSIMBO Zaidi ya heka 200 za mazao ya chakula na biashara zimeharibiwa na mvua iliyonyesha January 31 mwaka huu katika Kijiji cha Ikolongo kata ya mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani katavi. Akitoa taarifa ya tukio hilo Mtendaji wakijiji cha Ikolongo…
8 February 2023, 12:19 pm
Uzinduzi wa REAT Mkoani Katavi
KATAVI Wafanya kazi wastaafu mkoani Katavi wametakiwa kuendelea kuwa wazalendo na kuipenda nchi na kutoa mawazo chanya kwa jamii inayowazunguka. Hayo yamesemwa na afisa maendeleo Anna Kumbi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko Katika uzinduzi wa…
8 February 2023, 12:15 pm
Jumla ya Watu 222 Waugua Surua Mlele
KATAVIJumla ya visa 222 vya wagonjwa wa surua vimeripotiwa ndani ya siku 55 wilayani Mlele mkoani Katavi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko wakati wa kikao cha kujadili tathimini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe, mkakati…
8 February 2023, 12:11 pm
Wazazi Ambao Hawajawapeleka Watoto Shule Wachukuliwe Hatua
ATAVI Mkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka viongozi kuwachukulia hatua za kisheria wazazi ambao watoto wao wamefaulu kujiunga na kidato cha kwanza lakini bado hawajaripoti shuleni hadi hivi sasa Ameyasema hayo Februarymosi 2023, katika kilele cha maadhimisho…
7 February 2023, 10:21 pm
MPANDA Baadhi ya kinamama wanaopata huduma ya matibabu katika kituo cha afya ilembo halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa pongezi kwa watoa huduma katika kituo hicho kwa kubainisha kuwa huduma zinazotolewa zinakidhi mahitaji . Wakizungumza na Mpanda Radio…
7 February 2023, 10:19 pm
Kesi Zimalizwe kwa Usuluhishi Kuokoa Muda
KATAVI Wananchi mkoani katavi wameshauriwa kumaliza kesi za madai kwa njia ya usuluhishi ili kuondoa gharama na kutopoteza muda. Hayo yamesemwa na Hakimu mkazi mkuu mfawidhi mkoa katavi Gway Sumaye alipokuwa akitoa hotuba katika hitimisho la wiki ya sheria ambapo…
1 February 2023, 11:59 am
Watano Wahukumiwa Kunyongwa Katavi
KATAVIWatu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa Mkoani Katavi mara baada ya kukutwa na hatia ya mauaji katika matukio mawili tofauti . Jeshi la polisi Mkoa wa katavi Limesema limepata mafanikio mahakamani kutokana na kesi za watuhumiwa wa makosa ya mauaji…
1 February 2023, 11:57 am
Utata Waibuka Makabidhiano Hospitali ya Rufaa
MPANDAWajumbe walioshiriki katika baraza la madiwani robo ya mwaka lililofanyika katika ukumbi wa manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamemtaka Katibu tawala wa Mkoa kutatua mgororo wa makabidhiano ya hosptali baina ya Manispaa na Mkoa. Wakizungumza katika baraza hilo baadhi ya…
1 February 2023, 11:54 am
21 Wabainika na Maambukizi ya Ukoma Katavi
MPANDATakwimu zinaonyesha kwa mwaka 2022 wagonjwa wapya 21 wamebainika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa ukoma ndani ya manispaa ya mpanda mkoani katavi hali inayoonesha uwepo mkubwa wa watu wenye tatizo hilo. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa kifua kikuu…